Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana โค๏ธ

Asante kwa kutukumbusha wajibu mwema .
Binafsi hakuna hata mmoja nimewahi kuchukizwa na andiko lake isipo kuwa upande wa siasa kuna watu sikupendezwa na maoni yao, sasa ili nisikwazike sana na wao ilibidi kwa mara ya kwanza ni wa ignore.
Vinginevyo kila mmoja kwa namna fulani amekuwa faraja, amekuwa tumaini, amekuwa furaha amekuwa mwalimu nk kwa mwingine nawe mleta mada ni mmoja wao.
 
Mkuu,

Hii ni kweli tuvumiliane huenda miaka 40 ijayo wengi wetu zitabaki ID tu humu na michango tuliyowahi itoa๐Ÿฅฒ.

MOLA wetu awafanyie wepesi kila mmoja wetu na changamoto apitiazo.

Nikumbuke min -me BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO adriz de mbusii Mbaga Jr

Wafuatao sasa wageni waalikwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tlaatlaah
@LucasMwashambwa

๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ.
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ