Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Salam.
Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .
Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin.
Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq.
Usiulize Takwimu za UKIMWI. watu wa huku huwa hawapimi.
Malaya wanajiuza Hadi vijijin na wananunuliwa had na wanafunz wa Sekondari.
Nmejionea Kisesa Mwanza, Buzuruga,
Kwa Geita nimeona Katoro, Runzewe , Geita mjini ,Nzera , Nkome hata Kakubilo.
CHUKUENI TAHADHARI