Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

Ile ikuwa Mwanza, huenda Dejane akawa anaijua kama ukiangalia show ile demu kali ilipanda stage ikaanza cheza na mwamba si ndio Naomi , October nimekaa nayo ipo imenyonga nikajua ma sponsor wamezoea kiwanja 😀😀😀
Hao madem wa namna hyo hua ni viburudisho tu vya ma boss wakitoka hapo wanatembeza hizo ng'onda zao hadi kwa madogo walopata pesa hiv karibuni
 
Tupeni majibu kwanini hio mikoa ya mwanza, geita na kahama Pana ufuska hasa wauza k wengi? Kuna wenye pesa wengi na maskini wengi au watu wengi kuliko fursa za kiuchumi zilizopo? Why? Pesa za madini kuna madoni wengi au?
Wanawake wa Kanda ya ziwa wazuri Sana kimuonekano , tatizo maisha magum mno
 
Salam.

Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .

Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin.

Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq.

Usiulize Takwimu za UKIMWI. watu wa huku huwa hawapimi.

Malaya wanajiuza Hadi vijijin na wananunuliwa had na wanafunz wa Sekondari.

Nmejionea Kisesa Mwanza, Buzuruga,

Kwa Geita nimeona Katoro, Runzewe , Geita mjini ,Nzera , Nkome hata Kakubilo.

CHUKUENI TAHADHARI
Hiyo Biashara ipo tangia enzi za Yesu ,haiwezi kuisha maana wateja wapo wa kutosha.
 
Tupeni majibu kwanini hio mikoa ya mwanza, geita na kahama Pana ufuska hasa wauza k wengi? Kuna wenye pesa wengi na maskini wengi au watu wengi kuliko fursa za kiuchumi zilizopo? Why? Pesa za madini kuna madoni wengi au?
Kiswahili
Jibu ni kwamba kuna singo mazas wengi sana ,nipo huku vibinti vinaolewa na miaka 15 vinazakishwa vinaacha vikiwa vidogo kifuatacho ni kuuza K tu,kwa miezi mitatu niliyokaa huku nimechakata mbususu 12
 
Mwanza, Geita, Kahama na Tabora ni malaya kuliko hata DSM, ila wa kimya kimya, hawajuagi kukataa. nadhani uchimbaji wa madini mwingi umeharibu tabia, uwepo wa pesa za wachimba madini umefanya wanawake kuwa na hulka ya umalaya alimradi tu wapate. hata Mara wasingekuwa wanakeketwa wangekuwa malaya sana, sema yale makovu huwa wanayaficha hivyo inakuwa break kidogo wasionyeshe aibu yao, ila hata hao wao kwa wao wanashambuliana sana.
 
Fursa zipo kwa wenye mitaji,ukifika katoro utasema uko kariakoo mtaa wa kongo maduka yamesheheni,population ni positive kwa wafanyabiashara ila ni negative kwa wanafamilia.huku bado watu wanazaa watoto kumi na mbili kama wana wa israel
Hahaaaaa eti wana waisraeli ,umetisha mwamba ,mi nimezaliwa na kukulia Mwanza ,kiufupi huku umalaya nikawaida kama binti wa miaka kumi na nne anapigwa mashine na kuzalishwa na jamii inaona kawaida sasa hapo sijui unategemea nini ? , Jamii za huku traditions zao ndio vinavyochangia hiyo situation .Na watu wameoza haswa kwa HIV ,nadhani huku kuna mikoa mingi ambayo inaongoza kitaifa kwa kasi ya maambuikizi ya HIV kitaifa ,hasa Geita ,Mwanza na Shinyanga ,
 
Back
Top Bottom