Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

Malaya wengi wao ni wageni kutoka nje ya mkoa ni sawa na Malaya wa Zanzibar wanatokea Tanganyika kumkuta Binti wa kizanzibari anajiuza ni vigumu sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
shida unafikir malaya ni wale wanaojipanga barabarani tu. majority ya malaya ni wale kwenye mtandao. mnafahamiana, mnapeana simu, wewe mwanaume unafikiri upo peke yako kumbe anawapanga msururu na anakusanya tozo kwa kila mtu. ukiona umechukua mwanamke yeyote akakuambia ana haraka kwasababu wazazi wake wanataka awepo home, jua haraka hiyo sio ya kwenda nyumbani, ni kuwahi appointment ya mwanaume mwenzio ambaye naye amepangwa. nilivyokuwa kijana niliwahi shika namba ya mwanamke niliyemuokota, majina ya watu niliowakuta mle ni hatari tupu, mimi nadhani nilikuwa kama sio wa 20 baso 30 huko. na anajifanya ana harakaaa. zanzibar kwani bikra ya tigo wanatolea wapi kama sio umalaya?
 
Maeneo yote uliyoyataja hayana utofauti na maeneo mengine yenye shughuli za uzalishaji mali. Maeneo ya geita yote uliyoyataja ni ya kiuzalishaji. Buzuruga ni sawa tu na pale mnapoita Ubongo riverside the same kwa kisesa. Kwahiyo usigeneralize.
 
Kwa kweli Kanda ya ziwa Haina tofauti na mwambao wa bahari ya Hindi...kiela na kando ya maziwa MENGINE. Nipo nzera na maeneo yangu mengi kama nkome na kakubiro, nsenga umalaya ni nje nje.. hapa nzera kama kwenye Kuna vilabu viwili kimojawapo ni PK Malaya ni weni..gest pia Zina wateja sana... USEMACHO NI KWELI MKUU
 
Dar noma sana

Kila baa medi ukigusa imo.

Wanawake wa mtaani ukiwa na kausafiri tu unakula mambo mazuri bila tashwishi.
 
Hakuna sehemu salama kwa sasa. Kwa mzoefu wa hao viumbe hata akienda kijiji cha ndanindani huko Namanyere haichukui muda kujua chimbo la makahaba. Chukua tahadhari popote pale ulipo.
 
Sasa hiv Nzera halmashaur Imehama je haitaathiri uchumi wa hapo?
 
Sasa hiv Nzera halmashaur Imehama je haitaathiri uchumi wa hapo?
Haiathiri...bado maeneo ya starehe yataendelea kuwa nzera..hata kama..labda king afungue baa yake hapo alipojenga..napo pia wanawake wataenda kutafuta Hela tu... Sungusira zilipo ofis hamna makaz mengi tofauti na NZERA...
 
Haiathiri...bado maeneo ya starehe yataendelea kuwa nzera..hata kama..labda king afungue baa yake hapo alipojenga..napo pia wanawake wataenda kutafuta Hela tu... Sungusira zilipo ofis hamna makaz mengi tofauti na NZERA...
Sawa mkuu
 
Ninaunga hoja yako mkono 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…