Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Na wewe umekazania hiyo kukulana tu kama ndio jambo la msingi sana nnaugwaduuu
 
Mi mwanamke,ila nadiriki kusema hapa hakuna mwanamke,Hana akili!
Malezi ya kipuuzi haya ndo tunashangaa mashoga wanatoka wapi?
Yaani hataki mtt achapwe?😳
 
“Mtoto amepoteza baba analala peke yake?😂😂”

Kuna yatima wa miaka 5 huko duniani anakoroma kabisa anasema nini huyu😂😂
5 yote hiyo mkuu
Na wanaishi vzr wanalala wenyewe
Huyu dada mwehu kweli!

Eti nipangie ? 😳😆
Ana kichaa huyu
 
Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.

Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
Imagine
Malezi gani haya jmn?
 
Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Yaani ni mpumbavu sijapata ona
Imagine huyo mtt atakuwaje?

Nawaza Kwa sauti
Nina wadada 1 nasali nae, Hawa km 4 hivi single Maza tumesoma wote cbe pia🏃🏃🙄
 
Mtoto wa miaka 7 analala na mama yake????!!!!!! Kiaje??? Anamgonga au?

Anajikojolea na anaachwa tu Kwa kupewa courage kwamba akikua ataacha.....fuckup!

Mwanamke akitombwa anajihesabia kuwa anatumiwa......... mentality ya kipuuzi sana hii hasa Kwa msomi wa chuo kikuu
 
Yaani ni mpumbavu sijapata ona
Imagine huyo mtt atakuwaje?

Nawaza Kwa sauti
Nina wadada 1 nasali nae, Hawa km 4 hivi single Maza tumesoma wote cbe pia🏃🏃🙄
Yaani ni changamoto,ni upumbavu kupitiliza,,,Taifa lijalo sijui litakuwaje jamani
 
✍️👍🤝 Umemaliza Kila kitu
 
Ushauri wa Bure
Kuwa makini sana tu km mkristo nakushauri uwe muombaji, usiache kuomba maana huwezi jua km atakubali umuache kirahisi km kaona uko vzr
Usije rogwa Bure!
Narudia Tena,kuwa mtu wa maombi
 
Mama mjinga mtoto mjinga, miaka 7 mtoto anajikojolea, labda kukojoa kitandani, pia miaka 7 mtoto hawezilala nanwazazi
 
Me nilikutana na mburukenge moja ile haina akili kabisa,
Alikua anaishi kwa dada yake na alikuwa anataka kupanga, akawa ananiletea bajeti zake za kipuuzi sjui kodi mara kitanda na jiko la gesi. Sasa nikawa namuelekeza kuwa kwa saiv sina hela kwa sababu hela nimeitumia kwenye baadhi ya masuala, yeye anadai hayo ni matatizo yangu yeye hayamuhusu.

Nilipata hasira sana pale sema nikajikaza tuu kwasababu bado nilikua sijamtafuna, nikampa ahadi pale za uongo hadi siku nilipomtafuna nikalitupa huko
 
Acha nikae karibu na huu uzi maana ninako elekea baada ya Divorce kukamilika huwenda nika Date na singlemaza.
Na huyu single maza mtarajiwa soon nikama huyu wako kwa kifupi hawatofautiani kabisa.Na huko tunako elekea maisha yao yatakuwa kama haya haya.
 
Wanawake was hivi tunakutanaga nao Sana tu sema tunajiaminishaga watabadilika
snowhite liked the post —aiseee miss you sana…karibu Leo tupo hapa.,,,

Nimecheka sana huyo chizi eti mtoto asipigwe ana trauma ya kufiwa hahaha niliambiwa mimi nilipewa kipigo cha hatari baada ya kudumbukia kwenye kaburi lilikuwa linachimbwa kwenye msimba wa baba yangu…nikiwa mdogo mdogo naambiwa mother alinipiga kipigo heavy nusu ya kuniua ….hahahaha sasa kama trauma nadhani nilipigwa nayo…. Hatari sana
 
aaahhahahah ! Nitakaribia aiseeh!
Mama alitisha sana!
 
Nimecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…