mkuu naomba kujua haya mambo kabla sijashauri jambo
1. umri wa bidada
2. kabila lake
3. kalelewa na wazazi wote wawili/mzazi mmoja/kelelewa na watu tu ambao sio wazazi?
4. mahusiano yenu yana mda gani?
mental healthy nitatizo kuna mahala kajichanganya hapo nahisi kichwani hayupo sawa bt naomba nijibu kwanza