Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Sasa Mkuu, hayo mambo yako ya ujana umeshindwa kutueleza sisi tutakusaidiaje?

Ulifanya nini ujanani?
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Apa bado kama Uzi haujakamilika chief na unaitaji msaada wa mawazo kwa wanajukwaa
 
Naogopa hata kusema hapa, yananitesa sana
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
pole sana kijana,
hata hivyo yote yanawezekana kwa kumtegemea Mungu....

Eehee ni mambo yap ya ujana yanayokufikirisha na yanayokupa mawazo kijana?

ni mambo ya kiafya, kiuchumi, kisiasa au kijamii, funguka tyuuu?
 
Ahh, kumbe mwana kisamvu🤒😂😂
 
We Godwin peter huu Uzi unao sema huvutuwi na Wanawake vipi tena??
 
Back
Top Bottom