Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Aisee..
 
Kaburi limefukuliwa maiti Bado inanuka

Kwa kifupi Malinda yote yalisha tatuliwa

One man down
I repeat one man down
 
Hatari sana.
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
sawa
acha nasisi tuteseke kwa kutoyajua ayo mambo yako.
 
Back
Top Bottom