Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

We jamaa mchokozi😁😁
 
Mi niliwahi kuiba spika za kanisani siku nilivyoenda kutubu hawakunisamehe waliniitia polisi kwahiyo mkuu komaa hivyo hivyo usiseme ulifanya nini.
Umenikumbusha tuliwai iba divai na rafiki yangu tukiwa seminari

After one year jamaa yangu si akaenda kuungama kwamba mimi na yeye (sisi) ndio tuliiba mvinyo last year

Saa ngapi wasitutimue on spot japo ilikua kwenye kitubio 😂
 
Masikinii
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Eleza details ili usaidiwe, sasa unaongea kwa mafumbo na kutuchosa sisi kuanza kukuuliza uliza nini kilikupata na kutuzungusha ya kazi gani hiyo?

Hata hivyo kwa ushauri tu, Jifunze kumove on. Yaliyopita yamepita, songambele. Usiruhusu mambo ya nyumba ya control maisha yako, au kudefine your future.
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Ulikuwa unatatuliwa marinda?
 
Back
Top Bottom