Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sasa unatuletea li uzi lako la kazi gani?Naogopa hata kusema hapa, yananitesa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unatuletea li uzi lako la kazi gani?Naogopa hata kusema hapa, yananitesa sana
🤣🤣🤣🤣 Angalia thread ya 2019 utaambulia jambo flan huyu ni subscriber wa cocasticHuyu mtoto anatuona sisi viazi..
Yeye analijua tatizo apambane nalo tu ni ngumu mno kuacha kitu ulichokizoea hasa ukuni na Ganda/unga.
Mzee umefukua kaburi pazuri sanaNahitaji Masada
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida...www.jamiiforums.com
Sanaa toka ile siku nilijiapiza siji kwenda kwa binadamu mwenzangu kumwambia dhambi zangukuungama ni mtego
Nimeiona jamaa wanamsugua kitambo kidogo sasa anatafuta namna ya kutoka ukuni sio mchezo..🤣🤣🤣🤣 Angalia thread ya 2019 utaambulia jambo flan huyu ni subscriber wa cocastic
Mkuu LIKUD nimekubaliana na wewe kwamba watoto wa kike hawa tuzae tu ila tuhesabu maumivu.Muhimu umeshajua ulikua unafanya kosa,
Usijali iwe ulitoa uhai wa mtu au uliingiliwa nyuma.
Kama mama yupo hai mfate umueleze hilo tqtizo lako, Usiogope! yeye ndo mtu anayeweza kukusaidia bila kukusimanga
Kama unaogopa kumwambia ana kwa ana basi mpigie hata siku.
Usijisikie vibaya wala kuishi kwa wasiwasi kukosea kupo. Mama ako ndo mtu unayeweza kumpa siri na akaibeba bila kumwambia yeyote.
Humu tutakuvunja tu moyo!
Wanaume ni watu wema! Mpo tayari kueka mahitaji yenu nyuma na kutanguliza ya watoto na wenza wenu. Hata kulala njaa ili watoto wenu wapate chakula pia mpo tayari.
Ni kwel ephen_ hapa nimekuelewa. Ni sahihi kabisaa inabid tubadilike.Wanaume ni watu wema! Mpo tayari kueka mahitaji yenu nyuma na kutanguliza ya watoto na wenza wenu. Hata kulala njaa ili watoto wenu wapate chakula pia mpo tayari.
Tofauti yenu na mama ni kwamba nyie mnapenda mazuri ya mtoto tu lakini mapungufu hamuwezi kuyavumilia mpaka mwisho.
Watoto na mapungufu yetu mama zetu wanatupenda hivyohivyo ila nyie mna tabia za kususa watoto wanaoenda kinyume na nyie.
Kaliwa kiboga sana tu.Mambo yapi hayo
Ulikuwa unalika vipi?Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.
Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Yaani Leo ni mwaka wa ngapi una mtaja, ila hata like haweki🤣😂Endelea na kukwea mnazi, Certified Hater alisha piga pass ndefu 🤣 🤣
Umri wangu sasa hivi ni miaka 32.
Ebu twende taratibu kimagazijuto kama Balozi wetu wa Cuba.Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24