Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Sasa Mkuu, hayo mambo yako ya ujana umeshindwa kutueleza sisi tutakusaidiaje?Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Naogopa hata kusema hapa, yananitesa sanaSasa Mkuu, hayo mambo yako ya ujana umeshindwa kutueleza sisi tutakusaidiaje?
Ulifanya nini ujanani?
Sema utakuwa umepunguza mzigo mkubwa sana wa kukosa amaniNaogopa hata kusema hapa, yananitesa sana
Apa bado kama Uzi haujakamilika chief na unaitaji msaada wa mawazo kwa wanajukwaaHabarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Naogopa hata kusema hapa, yananitesa sana
Umri wangu sasa hivi ni miaka 32.Ujanani sa iv una miaka mingapi ... hakuna anaekujua humu au uliua mtu mkuu dam inadai funguka kam kwel unataka ushauri huku wapo watu mblimbali
pole sana kijana,Habarini za humu wadau,mimi ni kijana naishi hapa jijini dar,nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana,ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia
Ahh, kumbe mwana kisamvu🤒😂😂Nahitaji Masada
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida...www.jamiiforums.com
Hakuna mambo ya ki afya, ana Uzi ana sema havutiwi na Wana wakepole sana kijana,
hata hivyo yote yanawezekana kwa kumtegemea Mungu....
Eehee ni mambo yap ya ujana yanayokufikirisha na yanayokupa mawazo kijana?
ni mambo ya kiafya, kiuchumi, kisiasa au kijamii, funguka tyuuu?
Mimi ni mktisto,nipo kama auditor kwenye audit firm. Naishi mwenyeweWe dini gani?
Unafanya kazi gani ?
Unaishi nani?
We Godwin peter huu Uzi unao sema huvutuwi na Wanawake vipi tena??Nahitaji Masada
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida...www.jamiiforums.com