Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
1. Magufuli hakuwa mwongeaji mzuri. Mi huwa naweka tu mambo wazi wala sina wa kumwogopa. Magufuli hakuwa na good communication skills. Ila akili ya utendaji na misimamo alikuwa nayo.
Bi Chamdele. Hajui cha kuongea. Anaweza kuwa na sauti nzuri ya kuongelea au kutamka maneno vizuri ya kiswahili. Ila anaongea pumba. Ana maneno ambayo kwa sehemu za watu wenye akili yalitosha tu kusema hatoshi. Mihemko na kukosa akili aongee nini.
2. Magufuli katika utawala wake watu wapinzani walishambuliwa na kuuawa. Lissu , Ben Saa8 n.k
Bi Chamdele wameuawa wengi sana. Na Mbowe aliwekwa ndani kuwa ni Gaidi, Lissu yupo ndani mpaka leo. Ali Kibao, Mdude Nyagali, yule Dogo alichana picha zake mwenyewe na wengine wengi. Wengi wamepata madhira na yeye anasema ni maigizo. Si halisi. Na haina shida kufa ni kufa tu iwe kwa kuuawa au kifo asili.
3. Magufuli hakukuwa na Rushwa na ufujaji wa mali ya umma kama tunavyoona sasa kukumbatiwa wafanyabiashara wachafu wenye kunuka.
Bi Chamdele anaongozwa na Wahuni aka Mzoga Gang na anakumbatia wafanya biashara wachafu wenye kunuka na kutoa uvundo.
Moderator nyuzi kama hizi huwa mnafuta. Ila za akina tlaatlaa, choice variable na lucas mwashambwa huwa mnaziacha maana zinasifu watu na kuwaabudu. Mimi nmemzungumzia Magufuli na Bi Chamdele. Ambaye sijui kwa nini nyie mfute uzi.