Kuna mambo Samia kamzidi Magufuli. Ila amechagua kumzidi kwa mambo ambayo ni haya

Kuna mambo Samia kamzidi Magufuli. Ila amechagua kumzidi kwa mambo ambayo ni haya

Uwezo wa Samia ni zaidi ya mara 2 ya huyo mshamba mfu wa kisukuma. Samia anajua diplomasi, anajua uchumi, anajua siasa, ana uwezo mkubwa sana wa utendaji bila kelele. Watu wakweli na wenye akili wanajua amefanya mambo makubwa sana sana kwa muda mfupi, ni zaidi ya wanaume wawili. Samia ni next level, tumpe mitano ushuhudie maajabu makubwa ya maendeleo. Rais anayekaa na wafanyabiashara wakubwa ndiyo Rais sahihi na ndiye tunayemtaka.
Unachekesha sana, ⌚️ 100 ana uwezo wa nini?
 
Sasa hivi haters wa Samia Suluhu Hassan wamekuwa kama wamechanganyikiwa; wanabwabwaja tuu kama mahayawani. Chuki ni mbaya sana.....tena chuki yenyewe ikiwa chanzo chake ni dini na ukanda ndo huwa inakuwa mbaya zaidi.

Amewekwa na Mungu hivyo tusiyemchukia mama huyu, Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunaamini ataendelea kulindwa na Mungu dhidi ya mashetani haya yasiyosanifika.
Mleta mada sijaona ametaja dini. Usikimbilie kujihami kwa udini kukwepa ukweli. Ungemkosoa kwa kukanusha aliyoeleza. Matusi ni dalili kuwa anayosema ni kweli na hata wewe umekosa majibu na hoja kumpinga mtoa mada umeishia vitisho na matusi.

Unaonaje ukituonyedha uongo wa mtoa mada kwa kusema tofauti naye.
 
1. Magufuli hakuwa mwongeaji mzuri. Mi huwa naweka tu mambo wazi wala sina wa kumwogopa. Magufuli hakuwa na good communication skills. Ila akili ya utendaji na misimamo alikuwa nayo.
Bi Chamdele. Hajui cha kuongea. Anaweza kuwa na sauti nzuri ya kuongelea au kutamka maneno vizuri ya kiswahili. Ila anaongea pumba. Ana maneno ambayo kwa sehemu za watu wenye akili yalitosha tu kusema hatoshi. Mihemko na kukosa akili aongee nini.

2. Magufuli katika utawala wake watu wapinzani walishambuliwa na kuuawa. Lissu , Ben Saa8 n.k

Bi Chamdele wameuawa wengi sana. Na Mbowe aliwekwa ndani kuwa ni Gaidi, Lissu yupo ndani mpaka leo. Ali Kibao, Mdude Nyagali, yule Dogo alichana picha zake mwenyewe na wengine wengi. Wengi wamepata madhira na yeye anasema ni maigizo. Si halisi. Na haina shida kufa ni kufa tu iwe kwa kuuawa au kifo asili.

3. Magufuli hakukuwa na Rushwa na ufujaji wa mali ya umma kama tunavyoona sasa kukumbatiwa wafanyabiashara wachafu wenye kunuka.

Bi Chamdele anaongozwa na Wahuni aka Mzoga Gang na anakumbatia wafanya biashara wachafu wenye kunuka na kutoa uvundo.

Moderator nyuzi kama hizi huwa mnafuta. Ila za akina tlaatlaa, choice variable na lucas mwashambwa huwa mnaziacha maana zinasifu watu na kuwaabudu. Mimi nmemzungumzia Magufuli na Bi Chamdele. Ambaye sijui kwa nini nyie mfute uzi.
Hater,Jiwe Hawezi kufufuka na Kila mtu ana kipimo chake
 
Mleta mada sijaona ametaja dini. Usikimbilie kujihami kwa udini kukwepa ukweli. Ungemkosoa kwa kukanusha aliyoeleza. Matusi ni dalili kuwa anayosema ni kweli na hata wewe umekosa majibu na hoja kumpinga mtoa mada umeishia vitisho na matusi.

Unaonaje ukituonyedha uongo wa mtoa mada kwa kusema tofauti naye.
Pole sana, una akili fupi na ni mtoto sana.
 
Hata wewe ungekuwa muhuni kwa mfano, je, ungekubali kuongozwa na form iv failure?
Acha Bi Chausiku Chovyachovya aendeshwe kama gari bovu.
 
Hajatokea bado Rais bora na sahihi kama Samia

Magufuli huwa Nampa credit kwenye corona tu, mengine yote hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom