Kuna mambo Samia kamzidi Magufuli. Ila amechagua kumzidi kwa mambo ambayo ni haya

Unachekesha sana, ⌚️ 100 ana uwezo wa nini?
 
Mleta mada sijaona ametaja dini. Usikimbilie kujihami kwa udini kukwepa ukweli. Ungemkosoa kwa kukanusha aliyoeleza. Matusi ni dalili kuwa anayosema ni kweli na hata wewe umekosa majibu na hoja kumpinga mtoa mada umeishia vitisho na matusi.

Unaonaje ukituonyedha uongo wa mtoa mada kwa kusema tofauti naye.
 
Hater,Jiwe Hawezi kufufuka na Kila mtu ana kipimo chake
 
Pole sana, una akili fupi na ni mtoto sana.
 
Hata wewe ungekuwa muhuni kwa mfano, je, ungekubali kuongozwa na form iv failure?
Acha Bi Chausiku Chovyachovya aendeshwe kama gari bovu.
 
Hajatokea bado Rais bora na sahihi kama Samia

Magufuli huwa Nampa credit kwenye corona tu, mengine yote hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…