Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Mwanamke ni mtu mwenye maamuzi yake binafsi, ukiona katoka nnje jua kuna namna mwanaume wake ana mapungufu makubwa juu yake.

Hata ukitoa adhabu ya namna gani haitaficha ukwel kwamba kuna mahali huyo mke haumtoshi.
Wanachukulia wanawake ni kama mafushi hatuna akili. Ukiona mke au mume wako anachepuka deal naye maana ukifanya ujinga utaharibu maisha yako pia.
 
Siwezi kutumia nguvu zangu kwa kufanya ujinga kama wa huyo askari. Tulikutana mjini tunaachana tu kiroho safi. Sina hati miliki ya binadamu .
Nina mambo mengi tu ya kufanya na kunipa furaha.

Úkiwa na Ñguvu huwezi fikiria namna yako.
Wengi weñye mitazamo kama yako ni wanyonge, Hawana Ñguvu zozote zaidi ya Ñguvu kidôgo za kupumua na kuishi.
Sasa kwa nini uingie kwèñye battle ilhali unajua umnyonge.

Moja ya dalili kuwa unanguvu NI kutokukubali kudharauliwa, kuonewa, kudhulumiwa.

Ndîo maana wewe Mtu anaweza kukuita Mbwa au msagaji ukamuachwa. Lakini Huwezi muita Rais, Waziri, au mwenye Pesa au Ñguvu ya kichawi, au Ñguvu yoyote alafu akakuacha hivhivi.

Kwani wakiacha wanaowatukana watakosa nini au wakiwashughulikia watapata nini? Hilo utajiuliza.

Siku ukiwa na Ñguvu utajua wanapata nini.
Umesema furaha, Basi elewa ukiwa na Ñguvu furaha yako itakuwa kuona unaheshimiwa wewe na familia yako, Watoto wako, na Mali zako.
 
Nakubaliana kabisa na Mtibeli... Yote aliyoyaeleza unaweza kuyapata kwenye biblia kitabu cha Mithali 16: 20-35. Hapa utapata onyo la waasherati wanaotembea na wake za watu.
Nikitoa mstari mmoja wa 28... Je waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue? Malizia mwenyewe mistari inayofuata
 
Wanachukulia wanawake ni kama mafushi hatuna akili. Ukiona mke au mume wako anachepuka deal naye maana ukifanya ujinga utaharibu maisha yako pia.
Mwanamke sio mjinga atoke nnje, kuna namna tu itakuta mume wake kapelea , hasa kwa wale wanaume wasio karibu na kuwa free kwa wake zao ni ngumu Mwanamke amwambie ukweli.
 
Hizi habari za kuhongeana wake zimewapeleka wanaume wengi Sana makaburini.

Kuna watu akikuta na mkewe ujue ndo umeisha.Jamani wanaume tuacheni kbsa kutembea na wake za wenzetu kwa sababu Ni hatari sana
 
Lakini Huwa unafanya kuridhisha nafasi but lastly unaponza nafasi na mwili hususan kama huna pesa na mamlaka .

Kuliko yote hayo Bora niache
 
Huyu analeta civilization zake za ajabu kwèñye mambo mazito yanayogusa watu Moja Kwa Moja.

Haohao wazungu àmbao wanaotambulika civilized aende akajaribu Kutoka na Mke wa Mtu yeyote anayejiweza alafu Majibu atatupatia tukikutana kuzimu
Watampa kaadhabu kadogo tu.Watamtwanga karisasi kichwani tu.
 
Mwanamke sio mjinga atoke nnje, kuna namna tu itakuta mume wake kapelea , hasa kwa wale wanaume wasio karibu na kuwa free kwa wake zao ni ngumu Mwanamke amwambie ukweli.

Adai talaka.
Nipo Mafinga Hapa.
Vijana wanahangaika kukesha kutafuta Pesa kwaajili ya Wake zào. Wanapigana na hii baridi Hapa usiku kucha kwaajili ya familia zào.

Mke labda anataka ukaribu lakini Kazi ya mume haimpi Nafasi Mume kuwa mara Kwa mara na familia yake.
Kama Jambo Hilo limekuwa baya Kwa Mke huyo NI Bora akae na mwenza wake amwambie Kwa Upendo ameshindwa. Hiyo NI HAKI.

Lakini ku-cheat hakunaga kisingizio cha maana.
Usaliti haunaga kisingizio labda iwe Kisasi
 
Lakini Huwa unafanya kuridhisha nafasi but lastly unaponza nafasi na mwili hususan kama huna pesa na mamlaka .

Kuliko yote hayo Bora niache

Yeah kama Huna Ñguvu waache weñye Ñguvu wafanye.

Ndîo maana wanamuachia Mungu Kwa Sababu yeye NI mwenye Ñguvu.

Alafu hao wanaosema NI ûjinga lazima waelewe Mungu mwenye Ñguvu atalipa kîla deni Kwa wanyonge àmbao hawakuweza kujitetea
 
Mkuu mwanamke akikupenda kweli hauwezi chapiwa , vijana mnazingua kwa kutafuta wake kwa ushawishi wa vipesa ndio maana wanachapiwa mno , mimi nashauri wacha wachapiwe tu, kupata adhabu ni matokeo tu, hakuna mahali patamu kama penye utata😁
 
Nimekuta na mkeo ambaye wewe unamjua kwa jina Rahel Filbert Mtibeli mnayeishi nae huko Bunju, halafu kwangu mimi akajitambulisha kama Tausi Madilisha Kigoda kutoka vikindu na hana mume wala hawara... nimeingiza verse akakubali chap akaanza na kuniita mume hapo hapo...

Kwa hiyo hapo unaniambia kabla sijaanza kufanya chochote anipe kitambulisho chake cha Nida hili nihakikishe kama kweli jina lake ni Rahel, na pia nitafute watu wanaomfahamu hili wanithibitiishie kama kweli anaishi vikindu na hajaolewa si ndio???.. halafu siku ukija kuniona naye kwa akili yako utaniuliza kwa nini siku fanya yote hayo kujiridhisha na wasifu wake?

Jamaa una akili za kipuuzi sana... na tena ukikutana na wakulungwa waliojizatiti utafanyiwa huo ukatili wewe mbele ya huyo mke wako.
 
Mbona Biden na Elon kila siku wanatukunwa matusi makubwa zaidi ya haya na hakuna kita wanawafanya hao watu? Kuna mtu ana nguvu na pesa kuliko Biden na Elon Musk dunia hii?? Watu wenye mambo ya maana, makubwa na interesting life huwa hawashughulikagi na petty issues kama hizo unazoleta hapa.
Wewe tatizo lako ni ushamba, ujima pamoja na kukosa exposure ya nje ya kijiji chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…