Nimekuta na mkeo ambaye wewe unamjua kwa jina Rahel Filbert Mtibeli mnayeishi nae huko Bunju, halafu kwangu mimi akajitambulisha kama Tausi Madilisha Kigoda kutoka vikindu na hana mume wala hawara... nimeingiza verse akakubali chap akaanza na kuniita mume hapo hapo...
Kwa hiyo hapo unaniambia kabla sijaanza kufanya chochote anipe kitambulisho chake cha Nida hili nihakikishe kama kweli jina lake ni Rahel, na pia nitafute watu wanaomfahamu hili wanithibitiishie kama kweli anaishi vikindu na hajaolewa si ndio???.. halafu siku ukija kuniona naye kwa akili yako utaniuliza kwa nini siku fanya yote hayo kujiridhisha na wasifu wake?
Jamaa una akili za kipuuzi sana... na tena ukikutana na wakulungwa waliojizatiti utafanyiwa huo ukatili wewe mbele ya huyo mke wako.