Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Bila hawa watu JF ingekua imepoa sanaKumbe unaweza bishana na watu ambao hazimo humu ndani. Mtu kama huyu loh.
😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila hawa watu JF ingekua imepoa sanaKumbe unaweza bishana na watu ambao hazimo humu ndani. Mtu kama huyu loh.
Umeshaona matajiri au wachungaji wa ukweli wanahangaika na kudhuru watu. Wana mambo mengi ya kufanya sio kuhangaika na Mbususu ambazo unaweza kuzipata kwingineWaache na ûjinga waô.
Mbona Sisi tumewaacha na Civilized Yenu.
Lakini eleweni mkileta hizô civilization zenu kwèñye Ndoa za Wanaume na Wanawake weñye Ñguvu ya Pesa, mamlaka, cheo,, au Ñguvu za kiroho kama Wachawi au Manabii au mitume.
Eleweni Moto utawawakia.
Mtauuwa Kwa Mikono Yao wènyewe na hawatakuwa na hatia. Roho zào zitakuwa na Amani
Yaani. Nyuma ya keyboard wanaropoka ujinga. Wenyewe hawawezi fanya ujinga huo.Bila hawa watu JF ingekua imepoa sana
😁😁😁
Jamii ambayo watu wake wengi hawajastaarabika sheria sio kitu kinachoweza kuwaweka sawa kwa kipindi cha muda mfupi, civilization ni mchakato wa muda mrefu. Ukimchukua caveman wa wenzi za mawe umchanganye na binadamu wa sasa itamchukua muda mrefu sana kuanza kufuatisha taratibu nyingi za binadamu wa leo.Ukatili ni kufanya ubaya Kwa Mtu àmbaye hajakukosea.
Chukua Mke WA Mtu uone kama hawatakulawiti na wéwe.
Hayo màtukio Yapo mengi mitaani na yataendelea kuwepo mpaka Sheria za HAKI zitakapotungwa na serikali.
Haknaga sheria za hivyo hata siku moja. Ndoa ina sheria yake. Mimi mbona wa kwangu tuliachana na kila mtu ana maisha yake. Utahangaika na wa ngapi kama mumeo au mkeo ni mchepukaji?
Kweli mkuu Nashengena .. Mimi hua sibishani , Napotea Tu kimya kimyaYaani. Nyuma ya keyboard wanaropoka ujinga. Wenyewe hawawezi fanya ujinga huo.
Jamii ambayo watu wake wengi hawajastaarabika sheria sio kitu kinachoweza kuwaweka sawa kwa kipindi cha muda mfupi, civilization ni mchakato wa muda mrefu. Ukimchukua caveman wa wenzi za mawe umchanganye na binadamu wa sasa itamchukua muda mrefu sana kuanza kufuatisha taratibu nyingi za binadamu wa leo.
Jamii ambayo wanachoma moto wezi wa kuku, bata na simu huku wakiwapa uongozi, utukufu na kuwahusudu wezi wa mabilioni ni jamii ya hovyo sana.
Dah!Nikajua umepumzika mkuu.Kumbe unajibu komenti?Narudia Hakuna Mtu Civilized unapogusa Familia Yake.
Yàani Utoke na Mke au Mume WA Mtu alafu unataka awe civilized?
Nenda uzunguni Huko tafuta mke wa kigogo mrubuni Kisha ukamatwe utaona hizô unazoita Civilized zako kama zitatumika.
Watakuua Acha kudanganya Watu Hapa.
Binadamu wôte NI Sawa kwèñye baadhi ya masuala. Ikiwemo suala la mapenzi.
Reactions ndîo hutofautiana kutokana na tofauti zào za kihadhi, kicheo, kimamlaka, kielimu, kiuchumi n.k.
Narudia watakuua.
Chukua Mke au Mume WA hao unaowaona civilized au chukua nchi Yao Kisha lete porojo zako hapa
Alikuwa mume wa ndoa ,akawa na mchepuko. Nikamuacha aendelee na huko anakoona anapata amani. Maisha yangu ni muhimu zaidi ya ndoa.Hatuzungumzii kuachana.
Zinaa NI Moja ya sababu za kuachana.
Tunazungumzia dhulma ya Mtu kuvunja Mkataba Kwa kuahidi kutokukusaliti akakusaliti.
Unajua maumivu ya mapenzi wewe?
Au ulishakufaga?
Dah!Nikajua umepumzika mkuu.Kumbe unajibu komenti?
Huko ndio watu wanaachana tena kwa amani kabisa. Mnaleta porojo ambazo hazina ukweli.Narudia Hakuna Mtu Civilized unapogusa Familia Yake.
Yàani Utoke na Mke au Mume WA Mtu alafu unataka awe civilized?
Nenda uzunguni Huko tafuta mke wa kigogo mrubuni Kisha ukamatwe utaona hizô unazoita Civilized zako kama zitatumika.
Watakuua Acha kudanganya Watu Hapa.
Binadamu wôte NI Sawa kwèñye baadhi ya masuala. Ikiwemo suala la mapenzi.
Reactions ndîo hutofautiana kutokana na tofauti zào za kihadhi, kicheo, kimamlaka, kielimu, kiuchumi n.k.
Narudia watakuua.
Chukua Mke au Mume WA hao unaowaona civilized au chukua nchi Yao Kisha lete porojo zako hapa
Alikuwa mume wa ndoa ,akawa na mchepuko. Nikamuacha aendelee na huko anakoona anapata amani. Maisha yangu ni muhimu zaidi ya ndoa.
Hivi wewe jamaa kuna muda unakuwa na akili kweli au unajiandikia tu hili ubishane na watu humu?Umekutana na Mwanamke àmbaye umemtaka kimapenzi. Alafu akakuambia yeye siô Mke wa Mtu.
Ulitumia njia gàni kujiridhisha kuwa yeye siô Mke wa Mtu?
Bora unambie umemkuta kwèñye makasino ya kujiuzia Huko angalau utakuwa na hoja na Mimi Watu watakutetea.
Hata mwenye Mke atakutetea.
Mwanamke yeyote unayemuona anapita barabarani na siô Mkeo wal nduguyo hauna Haki naye Bila kujiridhisha
Mwanamke àmbaye unahaki naye kufanya mapenzi NI Mkeo au kahaba àmbao Wanamaeneo Yao ya kufanya shughuli hizô.
Huko ndio watu wanaachana tena kwa amani kabisa. Mnaleta porojo ambazo hazina ukweli.
Ahsantee sana mtibelii, [emoji120][emoji120][emoji120]Kumbe Hiki kirembo kinaakili.
Miaka yote nilikuwa nakuona poyoyo, samahani Kwa hili. Lakini sababu ya kukuona hivyo NI mtazamo wako kuhusu hao ndugu zako wa LGBT.
Lakini Leo umenishangaza Sana.
Siku ukijitoa Huko Kwa hao wapuuzi nijulishe nikupe heshima unayostahili
Siwezi kutumia nguvu zangu kwa kufanya ujinga kama wa huyo askari. Tulikutana mjini tunaachana tu kiroho safi. Sina hati miliki ya binadamu .Pole Sana.
Ungekuwa na Ñguvu yoyote ungekuwa na mtazamo tofauti na huu ulionao Sasa.
Ndîo maana weñye Ñguvu hawawashangai ninyi mnapoacha mambo kama hayo yapite, wanajua ni Kwa sababu hamna Ñguvu, nafasi, uwezo wa kujisaidia.
Lakini waô hamuwaelewi.
Mungu atakulipia Kwa sababu yeye NI mwenye Ñguvu
Hivi wewe jamaa kuna muda unakuwa na akili kweli au unajiandikia tu hili ubishane na watu humu?
Kwamba mimi nimekuta na mwanamke huku nachingwea anafanya biashara ya korosho, katika stori zetu akaniambia yeye ni mwenyeji wa Tabora na hajawahi kuolewa ila kazalishwa tu na hajui baba mtoto wake yuko wapi..... halafu eti mimi nianze kufanya upelelezi kutaka kujua je kweli ni mwenyeji wa tabora na kweli hajaolewa like serious?? Natafuta nini kute huko?
Najua mfanyakazi mwenzangu mzungu mume wake muafrika alichepuka, mbona wameachana tu kisheria.Kwani Huko hakuna Watu wanyonge?
Lakini jaribu wewe Muafrika kuvunja Ndoa Huko ya mzungu Kisha utupe mrejesho