uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Pale jamaa alizingua alipaswa kuweka mazingira mazuri kuhakikisha yule Binti anakuwa salama kama alikuwa hawezi ku insure security angepotezeaMnawadanganya mabinti au watoto wa watu, wanavyokuja kubakwa na kulawitiwa, nyie mnakua hampo.
Acheni ubinafsiii, tulieni na wake zenu, mxxxxxiiiiieeeew
Halafu Hawa wajeda hasa wakubwa na wanaofanya kazi makao makuu wengi huwa wanatumia IT wao kudukua mawasiliano ya wapenzi wao (Nimewahi kujua hili) kwa hiyo ukiwa nae kuwa makini sana hasa we cocastic maana unapenda wajeda