Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Wenye ndoa zao kaeni na wenza wenu vizuri, sio kumnyanyapaa mke mwishowe anavhukuliwa na mme wa mtu kumbe sababu ni wewe! Tatizo wanaume huzani wao ndiyo wenye hisia pekeyao kumbe wanajidanganya, wewe unamwacha mke anaranda randa hovyo na stress kibao unategemea nini hapo!

Mwanamke kama anateswa achukue talaka
Mwanaume kama anahisi anakosa Haki Zake atoe Talaka. Full stop.

NI Sawa na Askari ati avujishe Siri au asaliti Jeshi na Kutoa Siri Kwa Jeshi jingine ati kisa Jeshini kwàke anateswa au kûna jambo halipo Sawa
Utakula chuma
 
Ulivyoandika mwanetu utafikiri mademu wote uliowahi "kuwala" wwalikuwa wake zako
 
Wewe unaogopa Jela kumbe, ndio maana Huwezi kuwa mtenda HAKI.

Kama Sheria NI kandamizi, mtu kaonewa, kaibiwa Mke au Mume alafu adhabu ya aliyemuibia NI ndogo unafikiri hiyo NI Haki?

Wewe kama unaogopa Jela elewa siô kîla Mtu anaogopa hasa pale anapohisi kuonewa na hajatendewa HAKI.

Hoja ya Uzi huu NI HAKI Kwa wanaoibiwa Wake au waume zào. Hayo ya Jela Wala siô sehemu yake Kwa sababu hata Kabla sijaandika hapa kila siku tunasikia màtukio ya mauaji kisa mapenzi.

Unafikiri Wanaofanya hayo hawajui kûna serikali?
Wana haki kisheria. Wanatakiwa wadai fidia wagoni wao period.
 
Kwèñu Civilized personal ndîo cheating ni Sawa na Kosa la kujamba mbele za Watu

Nenda kachukue Mke WA RPC au WA Kiongozi wako WA katoliki mwenye Ñguvu alafu uone Kile atakufanya
Amechukuliwa mke wa Putin na maisha yanaendelea itakuwa mke RPC bongo.
 
Sijasoma kabisa ila nimejikita kwenye title na ndio nitatumia kucomment ni hivi hakuna mme wa mtu Kuna mke wa mtu pekee
Ndio maana mwanaume anakuwa na mke zaidi ya mmoja ila mwanamke huwa na mme mmoja.
Mnawadanganya mabinti au watoto wa watu, wanavyokuja kubakwa na kulawitiwa, nyie mnakua hampo.
Acheni ubinafsiii, tulieni na wake zenu, mxxxxxiiiiieeeew
 
Mwanamke kama anateswa achukue talaka
Mwanaume kama anahisi anakosa Haki Zake atoe Talaka. Full stop.

NI Sawa na Askari ati avujishe Siri au asaliti Jeshi na Kutoa Siri Kwa Jeshi jingine ati kisa Jeshini kwàke anateswa au kûna jambo halipo Sawa
Utakula chuma
Ni simple tu. Achana naye. Mimi mbona niliachana na mume wa ndoa na kila mtu ana.maisha yake sasa. Ya nini kubanana ili hali unaona hawezi kuishi naye.
 
Mwanamke kama anateswa achukue talaka
Mwanaume kama anahisi anakosa Haki Zake atoe Talaka. Full stop.

NI Sawa na Askari ati avujishe Siri au asaliti Jeshi na Kutoa Siri Kwa Jeshi jingine ati kisa Jeshini kwàke anateswa au kûna jambo halipo Sawa
Utakula chuma
Tena kwa waislam tunaalbiwa muachane kwa amani.
 
Ila baada ya hapo kuna gharama utabidi uzilipie .

Mfano yule jamaa comedians

Yupo guilty and shame 24/7
Huduma yake imeshuka
Hasikilizwi amepoteza reputation

You can't sacrifice /kill someone for ur life there's karma debt has to be paid.
Comedian ni yupi kati ya wale 4? Afu si tuliambiwa ni wajedaaa?
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
A person who thought of someone else while being in a relationship with you had stopped loving you that very moment. Just say it’s over and move on..
How uanze kupata criminal case utese watoto? Ni kwamba hujiamini na huwezi kupata mwenzi mwingine aliye sahihi?
Nitafsirie puliiiiizzzz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nikikamatwa nakula mke wa mtu,kosa ni langu au la huyo mke?
Mtu anajua kaolewa kwa nini akubali?
Ukisha kamatwa ndo utajua kosa ni lake au lako wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke kama anateswa achukue talaka
Mwanaume kama anahisi anakosa Haki Zake atoe Talaka. Full stop.

NI Sawa na Askari ati avujishe Siri au asaliti Jeshi na Kutoa Siri Kwa Jeshi jingine ati kisa Jeshini kwàke anateswa au kûna jambo halipo Sawa
Utakula chuma
Ingekuwa rahisi hivyo wengi wangekuwa tayari walishaomba na Kutoka
 
Back
Top Bottom