Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Moja kati ya mada za hovyo kabisa kuwahi kuandikwa na mtibeli.hoja ina point nyingi sana
Huyu anatetea uvunjivu wa sheria za nchi, uharifu na mauaji eti kwa kisingizio cha uchungu wa mume sijui mke! Rubbish.
Hapa sasa kinachotokea ni kinyume chake.
Huwezi kumfanyia unyama mtu eti kisa katembea na mumeo au mkeo, Utafia gerezani na huyo mkeo jamaa atamuoa kabisa.
Na walivyo wajinga huwa wanarekodi kabisa ili kusaidia ushahidi, mahakama huwa hazihangaiki sana na kesi za namna hii, maana ushahidi unakuwepo tayari.
Alietembea na mumeo au mkeo hana kosa lolote, mwenye kosa ni huyo mkeo au mumeo, Ongea nae, kama haelewi achana nae.
Kujifanya una uchungu sana na mtu mliekutana ukubwani ni ushamba tu, utaozea Segerea ndugu yangu.