Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwangu mimi na amini asilimia kubwa jinsi walivyo mpata pole pole ni mitandao ya simu ndio ilivujisha root trace ya pole pole.
Kwa kipindi chote inaonekana kumtafuta waliangalia namba za simu za ukaribu wake na watu wake.
Hapa tunaweza kuweka asilimia nyengine waliomzunguka kwa pesa,nyazifa,kuchukizwa na n.k.
Lakini mimi naweza kusema asilimia kubwa kugundulika kwake inawezakana mitandao ya simu ili tumika kuvujisha taarifa za watu wake wa karibu ambao alikuwa ana wasiliana nao.
Na watu wake wa karibu walikuwa familia yake maana ndio wenye namba ambazo kampuni za simu zilikuwa zinafatilia yote nani ambaye anawasiliana sana pole pole.