Boom likiwepo hata mimi nitaenda VETA 😹😹
Chap nitawahi na godoro langu napakia kwenye gari..!! 😹😹
Ukimaliza VETA watataka tena usomee na mengine ali mradi tu uteseke 😂Chap nitawahi na godoro langu napakia kwenye gari..!! 😹😹
Kwakweli ata Mimi ntaenda 🙂Boom likiwepo hata mimi nitaenda VETA 😹😹
Naenda na mama watoto wangu yeye asomee ucherehan mimi nisomee useremala 🤣🤣
Wao waeke Boom sisi hatuna tatizo.. 😹😹