Boom likiwepo hata mimi nitaenda VETA πΉπΉ
Chap nitawahi na godoro langu napakia kwenye gari..!! πΉπΉ
Ukimaliza VETA watataka tena usomee na mengine ali mradi tu uteseke πChap nitawahi na godoro langu napakia kwenye gari..!! πΉπΉ
Kwakweli ata Mimi ntaenda πBoom likiwepo hata mimi nitaenda VETA πΉπΉ
Naenda na mama watoto wangu yeye asomee ucherehan mimi nisomee useremala π€£π€£
Wao waeke Boom sisi hatuna tatizo.. πΉπΉ