Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

ndege wanaofanana huruka pamoja unaonekana wazi hayo majamaa yanayocheza mpira yamekukula yote kwa wakatitofauti na ambao bado basi wamewahi kuambulia hata denda FULLSTOP
Sina k ya mchezo. Nilitokaga na mmoja tena wakati niko form four yakaishia hapo. Na wao wanajuaga nilishatoka na rafiki yao japo wananitaka ila siwezi nishachagua wawe marafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nahisi kama kuna kaharufu ka wivu? Hebu mwache shosti yako aitendee haki K yake bhana.
 
Huyo rafiki yako hakufai,anaweza kuwagombanisha hao rafiki zako wa kiume na kisha wao wakakuona kua wewe ndio sababu!

Kitu kingine isije ikawa huyo rafiki yako anasambaza ile sumu makusudi kabisa? Kua makini sana!

Kichaa siku zote hapewi rungu kwenye jumba la vioo!
 
Uzuri ni kwamba alolala nae nishamwambia huyo ni mwanamke wa fulani na hajatulia kama wewe kwahiyo kazi kwako usije ukasema sikukuambia. Ile sumu sidhani basi tu ana genye za kitunguu swaumu. Nishapanga siendi nae kokote kwa watu ninaojua ataharibu.
kuna siku tunakunywa akaniambia huyu mwanaume wako siku ukiniacha nae mwenyewe hata kumbaka nitambaka utanisamehe rafiki yangu maana najua hivi hivi hawezi kunikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…