Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Ni msemo tu....ila kuna wadada wa aina yako huwa siwazii kazi yao ni kubania rafiki zao. Hamna raha kama kumzunguka na kuwatafuna, siku akishtuka anawaaka!
Hahahahaaaa.. kama unanijua vile. Kuna mmoja nilishtuka kawala rafiki zangu watano. Akaniambia we si ulijifanya unabana mchawi pesa mewatafuna mashoga zako ulonibania.
sibani kwa nia mbaya inakua sababu wale wanaumee wanakua washkaji zangu sasa najua tabia zao na siwez kuona rafiki angu anabebwa na mwanaume mshenzi mshenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wote tuko hivyo...hata mimi mshenzimshenzi...
 



Hao rafiki zako wa kiume ulowashkisha pembe unataka wafaidi nini kutoka kwako kama sio kuwafaidi marafiki zako
 
Wewe kwa akili zako za kawaida unahisi kabisa hiyo cycle ya hao marafiki zako ambao washajilia kama 3 hawajuani waliompasua.. Endelea kujidanganya... Hao marafiki zako washajua huyo msichana mwenzako ni demu wa wana ndiyo maana wanakimbilia kuchukua namba yake mapema na kujipigia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…