Bila kusahau chawa mzee Zembwe wa MizengweMtafuteni Maulidi Kitenge na Hando wapanue midomo…Mama anaupiga mwingiiiiiiiiiiiii
Kwa ule mkataba DP world ndio anaamua afanye kazi na nani na wapi ana haki ya kuwafukuza wafanyakazi wote na kutafuta wengine….hao walioletwa na serikali..watafutiwe pakufanya kazi pengine hata kwenye mashamba ya mpunga kilombero au kiwanda cha sukari kile cha NSSF…….Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Watu hawakupinga DP World bali walipinga Mkataba, lakini swala likawa la kidini kwa vile DP world ni ya waarabu. Sasa acha sheria ya mkataba ichukue mkondo wake.Kwa ule mkataba DP world ndio anaamua afanye kazi na nani na wapi ana haki ya kuwafukuza wafanyakazi wote na kutafuta wengine….hao walioletwa na serikali..watafutiwe pakufanya kazi pengine hata kwenye mashamba ya mpunga kilombero au kiwanda cha sukari kile cha NSSF…….
Dp World hoyeeeeeeeeee