Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Sio kufukuzwa tu, wachapwe fimbo wakati wa kutoka getini. Watu wanafiki sana. Mnaambiwa mkataba una shida mnakimbilia udini. Very stupid. Ngozi nyeusi isionekane hapo bandarini fukuza yote.
 
Namshukuru sana MUNGU Aalinionyesha njia baada ya kusoma chuo cha bandari nikakosa ajira nimemalza mwaka 2013, ila akanifungulia njia kwa kazi nyingine za kujiajiri najiliza ningengngnia hzo ajira sijui ningekuwa na hali gani mda huu
 
Sio kufukuzwa tu, wachapwe fimbo wakati wa kutoka getini. Watu wanafiki sana. Mnaambiwa mkataba una shida mnakimbilia udini. Very stupid. Ngozi nyeusi isionekane hapo bandarini fukuza yote.
Hata sio suala la mkataba kiufupi kama hawa jamaa kama wanahitaji kazi zao ziende kwa ufanisi wanao uitaji basi wafanye hicho tunacho kisikia tofauti na hapo wanatwanga maji kwenye kinu.
 
nadhani tunahitaji ufanisi katika hiyo bandari. ukivunja mkataba na mfanyakazi inajulikana, unatakiwa kufanya nini, unatakiwa kumpa haki zake zote na kwa wakati. pia wao walipokabidhiwa bandari walikugaliana watafanya nini na existing employees? mbona kama nakumbuka walisema watawabakisha waendelee kufanya kazi? tunachohitaji wao walete tu wataalamu wapya na mitambo mipya basi, vitu vingine vyote tunavyo na hatungewahitaji kama sio mitambo na utaalamu wa wachache ambao wanatakiwa kuwaleta. wameshaanza ili tuwatimue watupeleke mahakamani.
 
Wewe ungekuwa DP world ungekubali kubaki na hawa wafanyakazi wa kitanzania? Labda kama wataweka adhabu ya viboko kwa wafanyakazi…….,,,😂😂😂😂😂
 
Hata sio suala la mkataba kiufupi kama hawa jamaa kama wanahitaji kazi zao ziende kwa ufanisi wanao uitaji basi wafanye hicho tunacho kisikia tofauti na hapo wanatwanga maji kwenye kinu.
Kweli kama wanataka ufanisi kwenye hiyo bandari na wasipate hasara wanatakiwa wasikubali kufanya kazi na hawa watanzania wezi wezi na wavivu
 
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Hili tulijua litakuja , ukishamuuzia mtu mali yako huwezi tena kumpangia cha kufanya .
 
Back
Top Bottom