Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Siku UZALENDO ukiingia DAMUNI kama ambayo wawekezaji ni wazalendo wa nchi yao...nakuamua kuadhirili wenyeji..JUA TATIZO LITAAMBATANA na GARIKA. tabia ya mtu kusababisha tatizo alafu akistaafu au kupumzika tunashau mabaya yake kwa JAMII. Basi tuwachukie Sana WATU WANAFAIKI wanao Sifia UNAFIKI ..Hivi TAIFA halina wazee? .
Wazee si ndio hao mnasema wanawatilia kiwingu kwenye mambo yenu waache wakacheze na wajukuu zao😀😀
 
Dp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
Kwanza wengi ni wezi na wavivu
 
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Acha upotishaji wewe poyoyo,sema Gati alizobinafsishiwa DP World ziko 3 Sasa ukisema zote unakuwa hazikutoshi.
 
Acha kunukuu taarifa za wahuni wenzako wa Chadema.Yaani Mayanja Masele ndio source Yako? Harafu jf Huwa wanapiga ban kuweka taarifa za account binafsi kama main source Sasa inakuaje wewe wamekuachia unapotosha?
Bahati nzuri huwezi na hauna mamlaka ya kuniagiza chochote.

Prove kama una akili kwa kuweka taarifa sahihi acha kupindisha mada kwa kutengeneza mashambulizi kwa mtoa hoja
 
Back
Top Bottom