Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Duuu! Walisema wafanyakazi hawataondolewa, na wataendelea na kazi, hivyo HAKI zao kulindwa. Sasa vipi tena? [emoji134][emoji54][emoji134][emoji54][emoji134][emoji54]
 
Sidhani kama hizi taarifa nizaukweli...
Kazi inasimamishwa kwa documents.. sio kwa mdomo brother
 
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Ndio maana jana niliona meli zimekuwa nyingi sana zinazosubiri kuingia bandarini, samia na genge lake ni wahujumu uchumi wa Tanganyika, tuamke usingizini
 
Stupidity of DP WORLD, hata kama ni kuvunja mikataba ilipaswa kuvunjwa kwa awamu kidogo kidogo ili kutoathiri biashara ya bandari...........
 
Duuu! Walisema wafanyakazi hawataondolewa, na wataendelea na kazi, hivyo HAKI zao kulindwa. Sasa vipi tena? [emoji134][emoji54][emoji134][emoji54][emoji134][emoji54]
Hata jk alisema mgao utakua historia baada ya gesi kupatikana.
 
Kwa hiyo wenzio wakikosa kazi wewe fresh tu
Hata kama ni ww ungekuwa tiyari kufanya kazi na watu ambao asilimia 80 ya muda wa kazi wanautumia kwenye chai,lunch, na kutongozana?
 
Back
Top Bottom