ngoshakolya
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 118
- 98
[emoji2957][emoji2957][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]Watanzania washenzi na wapumbavu sana! Zaidi ya ngono na mipira kwao hakuna mambo mengine ya msingi zaidi ya hayo. Huyo anayeomba asaidiwe kupiga kelele yeye hana mdomo? Au sauti yake imeumbwa kubishania mambo ya akina Pacome hadi wanachomana visu? STUPID!!!
Hii ingesemwa kwenye masharti ya mkataba wala isingeleta shida. Tatizo ni kwamba serikali ilisisitiza kwamba DP World wataongeza ajira, ila sasa wanapunguza ajira!Dp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
Na huu ndio ukweliDp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
😂😂😂😂 kwa hiyo kuondoa changamoto ya meli nyingi bandarini ni kuomba meli zisije? Kumbe meli zikiwa nyingi ni changamoto hahaha! Waarabu wanapaswa kumtandika viboko Challamila16 December 2023
RC Albert Chalamila - Changamoto Meli zimekuwa nyingi
View: https://m.youtube.com/watch?v=nnbxpsEM69o
Mzee wa DP worlddddddddd leta ukweli sheikh 😂😂😂😂😂😂😂😂Acha kunukuu taarifa za wahuni wenzako wa Chadema.Yaani Mayanja Masele ndio source Yako? Harafu jf Huwa wanapiga ban kuweka taarifa za account binafsi kama main source Sasa inakuaje wewe wamekuachia unapotosha?
😂😂😂😂😂 Mkuu tunaomba Chalamila akisogelea bandari yako mumchape vibokoSafari hii ntawakomesha.
Dp worlddddddddddddPasi ni zile zile fupi fupi tuu na wimbo ni ule ule "mama anaupiga mwingi" mapambio yaendelee huko mbele tafadhalini
Wiki iliyopita niliona wame'host seminar ,nikajua kuna jambo hapa mbeleniDp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
😅😅Kazi tuliambia zina securityKwa mtu aliye siriasi na kazi hawezi kufanya kazi na waTz.
Ndo maana ni rais kivuli kina JK ndio wanatawalaHuyo mama Kiukweli hata ndani ya CCM hatoboi saivi, haya mambo ya hovyo Ma askofu walikemea yeye akayaendekeza, tutakutana mwakani.
Katika watangazaji nilikuwa na imani nao kutokana na misimamo yake ni huyu sijui alipatwa na niniBila kusahau chawa mzee Zembwe wa Mizengwe
Umeiweka vizuri. Watanzania kila wakati wanafikiria "upigaji"Dp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
KabisaNa mimi nawaunga mkono DP world wawafukuze wote pale bandarini….
Watu walivyopinga huu mkataba kuna watu waliingiza dini na uninga [emoji23][emoji23]