Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia.
Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika sisi mtaani kwa nini tukuwa pamoja wakati nguvu zimekuishia na ulivyo kuwa na nguvu mbona ulituona sio.
Unaamini hawa wanaokusifia utakuwa nao mpaka mwisho wa maisha yako.Muulize kigwangara.
Chuki unazobeba siku ukiamua kujirudi kwa wananchi zinaweza kukufanya ukafa haraka ndio maana wastaafu kama polisi,hakimu na chama chako wanaishia kujiona kama makimuga.