Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha.

Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha au kuwa fimbo kwa uganda kama alivyo fanya urusi na bomba la gesi lilopita ukraine.

Nimefikiria tu.
 
Uchunguzi wa bbc unasema rwanda wamewafundisha m23 mambo ya vita na wamehitimu kwa kuwaahidi pesa nyingi pia wamewashawishi askari wa jeshi la congo wakaasi kujiunga na m23 na kuwapa siri ya silaha zilizopo ktk jeshi la congo mafunzo yamefanyika rwanda na silaha za rwanda zimepita uganda kuingia rwanda lengo la kagame ni kuchukua madini ya golda na mengime lithium yanayotumika kutengeneza betriza magari haya ya umeme maana ndio dili kubwa kwa sasa, alijua akimtetemesha rais wa congo atakubali mazungumzo ili abebe madini sasa jamaa hataki mazungumzo na kiukweli hakuna haja ya mazungumzo maana yeye si mkongo anajifanya m23 sio wanyarwanda ni.Muongo tu na mnafiki kagame akatwe kichwa hafai.
 
Watu wa usalama wa taifa watang'amua hili. By the way tulinde mipaka yetu na tuwe makini na majirani zetu
 
Uchunguzi wa bbc unasema rwanda wamewafundisha m23 mambo ya vita na wamehitimu kwa kuwaahidi pesa nyingi pia wamewashawishi askari wa jeshi la congo wakaasi kujiunga na m23 na kuwapa siri ya silaha zilizopo ktk jeshi la congo mafunzo yamefanyika rwanda na silaha za rwanda zimepita uganda kuingia rwanda lengo la kagame ni kuchukua madini ya golda na mengime lithium yanayotumika kutengeneza betriza magari haya ya umeme maana ndio dili kubwa kwa sasa, alijua akimtetemesha rais wa congo atakubali mazungumzo ili abebe madini sasa jamaa hataki mazungumzo na kiukweli hakuna haja ya mazungumzo maana yeye si mkongo anajifanya m23 sio wanyarwanda ni.Muongo tu na mnafiki kagame akatwe kichwa hafai.
Ilo lipo wazi M23 ni wakala wa Rwanda ukiwagusa M23 umemgusa kagame kama Kikwete alivyofanya,Tshekedi yupo sahihi no Negotiations na Terrorist
 
Week 1 Tangu m23 waiingie goma Zaidi ; zaidi ya Watu 700 wamefariki, walinda Amani 18 ikiwemo wa Malawi, South Africa na Tz wamefariki,mji wa goma upo chini ya m23 na wamesema watafika kinshasa. Mawaziri wa ulinzi wa nchi Sadc wapo kinshasa. Bado naunganisha dot.
 
Back
Top Bottom