chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha.
Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha au kuwa fimbo kwa uganda kama alivyo fanya urusi na bomba la gesi lilopita ukraine.
Nimefikiria tu.