Uchunguzi wa bbc unasema rwanda wamewafundisha m23 mambo ya vita na wamehitimu kwa kuwaahidi pesa nyingi pia wamewashawishi askari wa jeshi la congo wakaasi kujiunga na m23 na kuwapa siri ya silaha zilizopo ktk jeshi la congo mafunzo yamefanyika rwanda na silaha za rwanda zimepita uganda kuingia rwanda lengo la kagame ni kuchukua madini ya golda na mengime lithium yanayotumika kutengeneza betriza magari haya ya umeme maana ndio dili kubwa kwa sasa, alijua akimtetemesha rais wa congo atakubali mazungumzo ili abebe madini sasa jamaa hataki mazungumzo na kiukweli hakuna haja ya mazungumzo maana yeye si mkongo anajifanya m23 sio wanyarwanda ni.Muongo tu na mnafiki kagame akatwe kichwa hafai.Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha.
Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha au kuwa fimbo kwa uganda kama alivyo fanya urusi na bomba la gesi lilopita ukraine.
Nimefikiria tu.
Ilo lipo wazi M23 ni wakala wa Rwanda ukiwagusa M23 umemgusa kagame kama Kikwete alivyofanya,Tshekedi yupo sahihi no Negotiations na TerroristUchunguzi wa bbc unasema rwanda wamewafundisha m23 mambo ya vita na wamehitimu kwa kuwaahidi pesa nyingi pia wamewashawishi askari wa jeshi la congo wakaasi kujiunga na m23 na kuwapa siri ya silaha zilizopo ktk jeshi la congo mafunzo yamefanyika rwanda na silaha za rwanda zimepita uganda kuingia rwanda lengo la kagame ni kuchukua madini ya golda na mengime lithium yanayotumika kutengeneza betriza magari haya ya umeme maana ndio dili kubwa kwa sasa, alijua akimtetemesha rais wa congo atakubali mazungumzo ili abebe madini sasa jamaa hataki mazungumzo na kiukweli hakuna haja ya mazungumzo maana yeye si mkongo anajifanya m23 sio wanyarwanda ni.Muongo tu na mnafiki kagame akatwe kichwa hafai.