Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Huwezi kuhangaika kutafuta mchawi wakati wewe mwenyewe umeshashindwa.
 
Can You Put The Link To That Thread,plz?

natumia kitecno mkuu nimeshindwa kuiweka hiyo link ingawaje nilijaribu,ningekuwa kwenye pc ningeweza,nenda kwenye 'search' tab ya jamii forums andika hyo tittle kisha iclick itasearch na hiyo title utaiona then isome mkuu,kuna madini ya maana sana humo mkuu,ukipata time ipitie
 
Kuna habari zimetapakaa hapa mjini kuwa Rais Makufuri anatarajia kupangua Baraza la Mawaziri siku yoyote kuanzia sasa.

Imeelezwa sababu za Rais kupangua Baraza hilo ni kuwafuta kazi baadhi ya mawaziri ambao wameshindwa kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu hivyo ameona bora awabwage baadhi ya mawaziri mizigo badala ya kuendelea kuing'ang'ania kuwabeba.

Hii itakuwa ni mara ya pili Rais kuwafuta kazi mawaziri tangu alipomfuta kazi Waziri Charles Kitwanga kwa sababu ya kulewa akiwa kazini. Mtangulizi wake Rais Kikwete alibadili Baraza la Mawaziri zaidi ya mara 8 kwa sababu mbalimbali zikiwemo kashfa maarufu za Richmond, Operesheni Tokomeza na Escrow.

Tusubiri tuone ni kina nani watakaopitiwa na panga hili la Makufuri na nani watapenya kwenye tundu la sindano. Kuna kila dalili kwamba kuna baadhi ya mawazi watafutwa kazi kwa sababu ya ama kumdanganya rais au kutojituma ipasavyo kwenye nafasi zao. Je, unaweza kutabiri nani atakuwa wa kwanza kupitiwa na panga hili?

Nawasilisha

Kama unachoongea ni kweli basi inaweza kuwa hivi

1.Dr kigwa na bosi wake- dawa
2.Prof Tuesday- kodi ya vat utalii na kuporomoka utalii
3. Mwifoot- atapewa nzuri zaidi
4..Mwijage -kauli za kutojenga viwanda
5. lionchawe
 
PROF J. NDALICHAKO AENDEE KWA MIAKA YOTE HATA AWAMU IJAYO, NIMEMPENDA KWELI HUYU MH KWA UBUNIFU HALAFU NDIO FANI YAKE
 
February Marope, Prof Ndalichako, Mama lao Mh sana Angellah J. Kairuki, Prof Mbarawa, Prof Muhongo you doing goood sana muendelee kuwemo jamani mungu awalinde hawa wasiondolewe kabisa speed yao nimeikubali mno duuh
 
Kuna habari zimetapakaa hapa mjini kuwa Rais Makufuri anatarajia kupangua Baraza la Mawaziri siku yoyote kuanzia sasa.

Imeelezwa sababu za Rais kupangua Baraza hilo ni kuwafuta kazi baadhi ya mawaziri ambao wameshindwa kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu hivyo ameona bora awabwage baadhi ya mawaziri mizigo badala ya kuendelea kuing'ang'ania kuwabeba.

Hii itakuwa ni mara ya pili Rais kuwafuta kazi mawaziri tangu alipomfuta kazi Waziri Charles Kitwanga kwa sababu ya kulewa akiwa kazini. Mtangulizi wake Rais Kikwete alibadili Baraza la Mawaziri zaidi ya mara 8 kwa sababu mbalimbali zikiwemo kashfa maarufu za Richmond, Operesheni Tokomeza na Escrow.

Tusubiri tuone ni kina nani watakaopitiwa na panga hili la Makufuri na nani watapenya kwenye tundu la sindano. Kuna kila dalili kwamba kuna baadhi ya mawazi watafutwa kazi kwa sababu ya ama kumdanganya rais au kutojituma ipasavyo kwenye nafasi zao. Je, unaweza kutabiri nani atakuwa wa kwanza kupitiwa na panga hili?

Nawasilisha
Ukipata tetesi jamaa huwa anapotezea.
 
Angellah Kairuki asitolewe jamani pleasee,yaan hapo ndo amefika mama lao daaah nampenda sana huyu Mh mungu amlinde
 
Ramli za ufipa boys zinaendelea.

Mshindwe na mlegee
 
Et wameshindwa kwenda na kas yake. Kwani anakasi gani sasa uyo mkurupukaji?
Kichaa wewe ubu ebu jaribu kuwa mstarabu. Uwezi kumwita rais wetu mkurukupaji. Huwe na heshima, mzalendo na upendo Kwa nchi yako
 
Angellah Kairuki asitolewe jamani pleasee,yaan hapo ndo amefika mama lao daaah nampenda sana huyu Mh mungu amlinde
mmmh! kama anautendaji ulio tukuka hakuna haja ya kumwombea asitumbuliwe utendaji wake utambeba
 
Back
Top Bottom