Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Raha ya tetesi hisizidi Mwezi baada ya Mwezi inakua haina maana
 
Ka kweli anahtaji kazi ipigwe basi safari hi akope. baadhi ya wabunge kutoka UKAWA awape hzo wizara zinazolegalega
 
sijaona kiongo anyefanya kazi kwa ubunifu hata mmoja...kuanzia safu zote za uongozi DC hadi Rais mwenyewe.......wote wauza sura tu kwa wananchii.kila kila kuomba huruma kwa wananchi na kulialia tu...atakayefukuza wenziwe ni mwendelezo wa sifa tu na kutaka attention kwa wananchi...unamfukuzaje mtu wakati serikali haina mipango kazi na future plan za kuleta changes kwa faida ya vizazi vijavyo.........
wauza sura tu hao
 
Hiyo ilisemwa kitambo sana lakini haikutokea.Hivyo sitaamini hadi nione kweli imetokea.
Wewe unahisi kuna umuhimu wa kufanya cabinet reshuffle kwa sasa? Kama ndio nani atoke nani aingie??
 
wanaoondoka ni

simbachawene
january makamba

hawa wote wawili mnaibu wao wanafanya kazi sana tena saana jaffo
 
Back
Top Bottom