Mwambie ni maji ya barid kabisa ndio yanatakiwaUshauri wangu binafsi
Hakikisha ukiinywa uwe huna ratiba nyingine zaidi ya kushinda kwako
Uwe na maji ya kunywa zaidi ya Lita 3 pembeni ikiwezekana na glucose pia
Jitahidi usiharishe zaid ya Massa 6.Mkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Itakuwa ndo yenyewe swali anachoo cha ndani peke yake?Sio habbat mulk hiyo?
Ulipaswa kukaa na maji baridi karibuNiliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani...
Unatokwa na uchafu sana kisha utajiona mwepesi sanaMliotumia vip vitambi viliondoka?
Inategemea na aina ya kitambi mkuu, kama ni kitambi cha kawaida kinapotea chote ila utumie hiyo dawa mara kadhaa ukichanganya na maziezi inakuwa vyema zaidi.Mliotumia vip vitambi viliondoka?
Kutapika kunamaanisha umekula sumu,Niliwahi tumia hiyo dawa kwa kutafuna na karanga nikaharisha na kutapika balaa baadae nikawa mwepesii na kitambi kwisha
Mkuu nimejikuta nacheka tu tena Sana yaani ulivoandika nikawa navuta picha mbavu Sina eti unaeza vuta kilaini,daaah mkuu umeniongezea siku jioni hii nikiwa nasubiria mechi ya Simba na Al masry,hivo vimbegu ninavo viwili nilinunua mwezi uliopita ,naogopa ht kuvimeza , aisee ila nitameza tuu!Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani...
Hakikisha unakuwa na tunda la Chungwa karibu yako, ili hali ya kuharisha ikizidi kiwango uweze kuistopisha. Utakapoona unaharisha maji baada ya uchafu kula chungwa.Ushauri wangu binafsi
Hakikisha ukiinywa uwe huna ratiba nyingine zaidi ya kushinda kwako
Uwe na maji ya kunywa zaidi ya Lita 3 pembeni ikiwezekana na glucose pia