Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Tafuna tu haina shida. Hizo mbegu ukienda kiteto zinapatikana kwa wingi. Utaharisha uchafu wote wa tumboni. Mharo wa kwanza unaweza kutoa uchafu unaofanana na lami.
Haina side effect ila hakikisha unatafuna ukiwa umekaa karibu na choo na una maji ya kunywa. Utaharisha kama mara tatu hivi mharo wa harakaharaka.
Baada ya hapo utakuwa unaenda kidogokidogo na siku moja tu. kesho yake upo poa.