Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Tafuna tu haina shida. Hizo mbegu ukienda kiteto zinapatikana kwa wingi. Utaharisha uchafu wote wa tumboni. Mharo wa kwanza unaweza kutoa uchafu unaofanana na lami.

Haina side effect ila hakikisha unatafuna ukiwa umekaa karibu na choo na una maji ya kunywa. Utaharisha kama mara tatu hivi mharo wa harakaharaka.

Baada ya hapo utakuwa unaenda kidogokidogo na siku moja tu. kesho yake upo poa.
 
Salaam wana JF

Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili...
Huo ni Mlonge ila kula 4 asubuhi na 4 jioni ila inategemea na tumbo lako kama unataka kuhara kula hata kumi kisha kunywa maji ya kutosha
 
ni moja ya dawa bora sana, na ukitaka ujue tumbo ni jalala Zaidi ya dampo, kunywa hii kitu, just be alone at home with a private toilet, hii dawa kiboko, the good thing is ukinywa maji ya baridi tu, inakata mda huohuo, lakin shughuli yake si mchezo
Yaap ur right jamaa alituambia tukishatumia hii mbegu ,tusinywe maji ya baridi
 
ni moja ya dawa bora sana, na ukitaka ujue tumbo ni jalala Zaidi ya dampo, kunywa hii kitu, just be alone at home with a private toilet, hii dawa kiboko, the good thing is ukinywa maji ya baridi tu, inakata mda huohuo, lakin shughuli yake si mchezo
Mkuu ukinywa hiyo dawa tumbo haliumi?
 
Mkuu nimejikuta nacheka tu tena Sana yaani ulivoandika nikawa navuta picha mbavu Sina eti unaeza vuta kilaini,daaah mkuu umeniongezea siku jioni hii nikiwa nasubiria mechi ya Simba na Al masry,hivo vimbegu ninavo viwili nilinunua mwezi uliopita ,naogopa ht kuvimeza , aisee ila nitameza tuu!

Utahara sana ila uweke vizuizi jirani (maji ya baridi )
 
Dadeki kitu cha mlonge kama sikosei utaharisha hadi utumbo[emoji23][emoji23]
 
rafiki yangu alikunywa hiyo aliarisha mpaka akalazwa ha ha ha sikutaka hata kutuhubutu Kunywa
 
Niliharisha siku nzima miguu ikachoka .nikabaki kusimama huku nahara mimaji .
Ni shida
 
aisee hatari sana hiyo kitu first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
 
aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
Ahahaaa
 
Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani
Hahaaaa hio ni kiboko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jaama anapenda kula vitu vyangu hostel nikiwa sipo ngoja nimtegee kwenye msosi imkomeshe
 
aisee hatari sana hiyo kitu, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio dawa ni kiboko na mimi niitafute maana naona kama nyie mlifaidi kinoma
 
Ingependeza kama ungeweka picha,wengi hapa wanasema habati mult mara mbegu za mlonge? Weka picha tukupe jibu ni mbegu gani.
 
aisee iyo kitu acha kabisa mimi niliamua kujitenga chooni kwenye sink ili nisisumbuke
 
Niliharisha siku nzima miguu ikachoka .nikabaki kusimama huku nahara mimaji .
Ni shida
Hii unatakiwa utumie nusu tu, yaani ile mbegu moja igawe mara mbili hapo haitakusumbua. Mie natumia hadileo nikiona tumbo langu linvurugu nyingi,choo hakipatikani vizuri hiyo ndio dawa yangu ya kuflash utumbo mkubwa.
 
Back
Top Bottom