Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Inaondoa sumu, sumu gani au sumu ipi, na hiyo sumu iko wapi kwenye mwili wako? Nikielewa unachomaanisha itakuwa rahisi kujua cha kukushauri?
 
hii mbegu naitaka inisaidie kutoa huu uchafu tumboni, maana ninachokula na kinachotoka tofauti kabisa
najisikia tumbo limejaa muda wote
 
Back
Top Bottom