Ipo dawa moja inaitwa AFYA FASTA BUNDUKI inapatikana kwny maduka ya dawa asili especially yale ya kiislam mfano duka la msikiti wa buzuruga shule ipo kikopo kimoja kinauzwa 5,000 ni nzuri sana mkuu ukiitumia utatoa uchafu wa kila aina tumboni na baada ya hapo utajiona km umezaliwa upya, sikuamin first time nilipoitumia nliona changes kubwa sana mfano utaanza kula vzr ata km ulikua na tatzo la kukosa hamu ya kula, inaondoa uchovu wa mwili, viungo vya mwili km vilikua vinauma hutosikia tena. In short ni dawa nzuri mi npo dar nmejaribu kuitafuta sana huku sijaipata