Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Mrejesho tafadhaliMkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho tafadhaliMkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Sasa mbona hukuleta mrejesho jombaa. Wakati wadau tumekusaidia kinomaShukrani mkuu ngoja nifanye mpango nitembelee maeneo hayo kuichek
Je ulifanikiwa kusafisha tumboJamani nahitaji na mm hizo dawa ili nisafishe kidogo tumbo langu maana sometimes huwa linanisumbua
Kwa hapa Geita naweza Pata wapi?!
Na je nitumie ipi Kati ya hizi
Habari muluki
Castro oil
Au nikaulize kwenye maduka ya dawa za asili😳😳
Mkuu; Ukienda (yaani ukiharisha) walau mara sita na uwe unachunguza kinachotokaMkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Ukiendaga chooni unatoaga uchafu au asali mwenzetuSalaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili.
Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde au Nzega, watu hawa wamekua wakiuza Dawa mbalimbali za asili(Tiba mbadala).
Sasa Jana wakati nasafiri aliingia jamaa mmoja Ustadhi kwenye basi letu na kuanza kutangaza kuhusu Dawa anazouza.
Kuna moja ilinivutia, ni mbegu fulani kwa jina nimesahau,vmuuzaji akadai mbegu hiyi unaitafuna na kushushia na maji baada ya muda utaanza kuhisi hali tofauti mdomoni na tumboni kutaanza kuunguruma hapo sasa utaenda chooni kuharisha na utashuhudia uchafu mwingi ukitoka.
Akaenda mbali zaidi na kusema ili uamini jitahidi uharishie kwenye beseni uone mavitu yatakayotoka tumboni.
Abiria wengi walinunua nami nikashawishika kuinunua hiyo mbegu.
Sasa bado sijaitumia naomba kama kuna ambaye aliwahi kutumia hii mbegu atiririke hapa uzoefu alioupata baada ya kuitumia.
Ni hayo tu wakuu.
Weka picha Sasa tutajuaje Ni aina ipi ya mbegu uliyopewaSalaam wana JF

Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani .
Tena niliambiwa niandae na yale madawa maalum ya watu wanaohara yanaitwa "oral" sijui nilikuwa na jug mbili zimejaa hayo maji. Yaani nikimaliza kunywa glass moja ni safari ya kukimbia chooni Baada ya masaa matatu nilihisi naaga dunia nguvu ziliisha na sauti ikagoma.
Nikitazama sink la chooni naharisha maji meupe kama kipindupindu hata hayana harufu. Nikajua hapo sasa namaliza stock ya maji ya mwilini nilitambaa hadi jikoni uchi kutafuta maji ya baridi kwenye fridge ndio pona yangu.
Ile kama utani tu unaweza kuondoka duniani kiulaini tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
ni moja ya dawa bora sana, na ukitaka ujue tumbo ni jalala Zaidi ya dampo, kunywa hii kitu, just be alone at home with a private toilet, hii dawa kiboko, the good thing is ukinywa maji ya baridi tu, inakata mda huohuo, lakin shughuli yake si mchezo
Haliumi lakini linavurugika mpaka basi, unaweza ukahamia chooni kabisa, lakin ikishakata you will feel different, mwili unakuwa mwepesi and more energetic
Hiyo ni mbegu ya MIBONO ni kweli ukila utaharisha sana.Lakini swala la kuwa dawa inasafisha tumbo halina ushahadi.Mtu anapoharisha mara nyingi anaharisha vitu ambavyo amekula.Sasa angalia mtu kala mayai asubuhi saa 4 kala nyama mchana kala ugali na bamia na jioni kala pilau halafu kalala kesho anaanza kuharisha.
Hivi huo mkorogo aliokula kama ungewekwa kwenye chombo kimoja ukiuangalia unaweza kuukimbia kwa jinsi unavyotisha.Sasa hawa jamaa wa tiba mbadala wanaweza kujenga hoja za uongo kuwa dawa inasafisha tumbo kwa vile mhusika amehara uchafu. Usitegemee mtu kuhara manukato hata kama alikula biryani.
Fekinilimeza usiku nimeharisha tu kidogo asubuhi kama mara tatu hivi.
ila wanashauri umeze asubuhi kabla ya chochote .kesho nitameza tena nilinunua za buku zipo kama 20
Mi naomba kujua Kama ukinywa hiyo alaf ukawa mjamzito wa mimba ndogo labda mwezi itahatarisha mimba kutoka? Nataka kumpa mtu atumie lkn ni mjamzito wa week tatu tu Nahofia nisije zua balaa lingine alaf nilinunua tu kwenye gari hata aikuuliza HV.
Sokoni Kariakoo Karibu Na Duka La Sunderland, Kuna Maduka Ya Dawa Za KisunahZinauzwa wap kwa Dsm?
Yaani me nimeitumia muda huu kinyeo kinawaka moto....na hakuna dalili za breki kushika....breki toka zimeachia saa saba mchana...saiv saa 12 kasoro...khaaa nifanyeje ili litulie wataalamuNipo hapa, naendesha sina amani kabisa, nimekuja humu kucheki solution ya ku stop.
Ni tiba ndio lakini eeh kiboko.
Mpaka nimekumbuka umuhimu wa kuwa na afya njema na kujitunza wakati wote.
Tuepuke tu misosi isiyo rafiki kwa afya, na kuwa na kiasi.
Habat Mulk ni mbegu ya castor?!Nimerudi tena, hii ni saa kumi alfajiri (4:02).
Nimetafuna Habat Mulk, saa nne usiku. Ninachokipitia ni hatari.
Niwakumbushe tu wadau kuwa, hii ni mbegu ya Castor. Tunaitumia kama laxative,na kwa imani kuwa kama umekula vitu sio vya kiimani basi vitatoka.
Lakini kisayansi hii kitu ina sumu inaitwa RICIN, hii sumu inaweza kutumika kama silaha ya kuua watu, na haina anti-dote.
Ukila zaidi ya mbegu moja au hata hiyo moja, ikikuta mwili kidogo hauko sawa stamina unaweza kupoteza maisha.
Tuwe makini, kwa mziki wa leo. Nadhani hii nimestaafu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]