Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Kama shida yaku nikusafisha tumbo, kanunue Castor oil, haimizi tumbo, utaharisha vyakutosha kulingana na kiasi ulicho kunywa,

Vijiko viwili vikubwa vinakutosha, haya mafuta yanauzwa maduka ya dawa baridi na bei yake ni poa tu,
Bora hyo castor oil..hiko kimbegu sio kuharisha tu unatapika na kichefuchefu juu unaweza ata ukalazwa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hiko kimbegu hatariii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakua ulijiharishia kwenye gari ww
 
Nishapata funzo kitambo huwezi amini niliuziwa hivyo nilihara na kutapika mpaka nikaona sijatendewa haki,nafuu yangu niliponea maziwa.Yangu inaweza isiwe kama hiyo maana hata jina siikumbuki,lakini kwa ushauri tumia dawa mpaka uumwe na ufike hospitali utakuja kununua sumu kwa dawa zisizo thibitishwa sa kwa mfano huyo hata akikuuzia sumu utamshtaki wapi?
 
walahy nimecheka sana
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mungu wangu! nadhani unastory ya kutusimulia [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vimbegu kama vikaranga hivi nilikosa choo nikaambiwa nimeze nusu tu sababu ya uzito wangu aisee ni zaidi ya mateso ni usisimame wala usikae ni kuunga bando la chooni full kutapika mate ya ukakasi kha![emoji26] nilihisi naaga dunia ikabidi niite ndugu yangu anitaftie coca baridi ndo kuacha ila niliporomoka uzito ndani ya masaa mpaka kutembea sikuweza [emoji114]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeharisha sana leo. Nikitaka kuziba kuharisha nifanyeje?
 
Huko kwetu yupo baba aliwahi tafuta hizo dawa ili aharishe aweze kula vizuri sikukuu ya krismas, zilimzidi akafa.

Kwetu zinaitwa NGESI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…