permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mkuu hebu malizia hii habariSitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
Utaharisha mpaka maji uyaite mmaSalaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili...
Zinaitwa habat-lmuku zinapatikana katikana katika maduka ya sawa za kisunnah.Kwan ni vimbegu gan hivyo
Kuna Mzee moja mjita wa pande hizo alinipa dawa moja ya unga hatari sana!
Tumia weekend mzee maana iyo kitu tunajua tuliowah itumia lol, ila km ungekua bdo upo pande izo za mwanza ningekuelekeza moja ambayo ni the best kwa uhitaji wako ni close substitute ya hiyo mbegu, japo yenyewe ni ya Unga na ipo certified na TBS ni dawa ya mitishambaMkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Tumia weekend mzee maana iyo kitu tunajua tuliowah itumia lol, ila km ungekua bdo upo pande izo za mwanza ningekuelekeza moja ambayo ni the best kwa uhitaji wako ni close substitute ya hiyo mbegu, japo yenyewe ni ya Unga na ipo certified na TBS ni dawa ya mitishamba
Nielekeze mkuu nipo ukanda huuTumia weekend mzee maana iyo kitu tunajua tuliowah itumia lol, ila km ungekua bdo upo pande izo za mwanza ningekuelekeza moja ambayo ni the best kwa uhitaji wako ni close substitute ya hiyo mbegu, japo yenyewe ni ya Unga na ipo certified na TBS ni dawa ya mitishamba
Izo mbegu azifai maana zenyewe ad unatapika piaHivyo vimbegu kama vikaranga hivi nilikosa choo nikaambiwa nimeze nusu tu sababu ya uzito wangu aisee ni zaidi ya mateso ni usisimame wala usikae ni kuunga bando la chooni full kutapika mate ya ukakasi kha![emoji26] nilihisi naaga dunia ikabidi niite ndugu yangu anitaftie coca baridi ndo kuacha ila niliporomoka uzito ndani ya masaa mpaka kutembea sikuweza [emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze mkuu nipo ukanda huu
Shukrani mkuu ngoja nifanye mpango nitembelee maeneo hayo kuichekIpo dawa moja inaitwa AFYA FASTA BUNDUKI inapatikana kwny maduka ya dawa asili especially yale ya kiislam mfano duka la msikiti wa buzuruga shule ipo kikopo kimoja kinauzwa 5,000 ni nzuri sana mkuu ukiitumia utatoa uchafu wa kila aina tumboni na baada ya hapo utajiona km umezaliwa upya, sikuamin first time nilipoitumia nliona changes kubwa sana mfano utaanza kula vzr ata km ulikua na tatzo la kukosa hamu ya kula, inaondoa uchovu wa mwili, viungo vya mwili km vilikua vinauma hutosikia tena. In short ni dawa nzuri mi npo dar nmejaribu kuitafuta sana huku sijaipata
Mimi naomba kujua Kama hizi mbegu Zina madhara yyt endapo mtu mjamzito akitumia mimba ikiwa ndogo labda mwezi mmoja Kama kutakuwa na hatari ya kutoka kwa mimba maana nilinunua hizi mbegu Kama kumi kwenye nyahunge ya mwanza Kuna mdada anasema apati choo alaf minyoo mingi nataka nimpe lkn naogopa nisije nikazua tatizo.Salaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili.
Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde au Nzega, watu hawa wamekua wakiuza Dawa mbalimbali za asili(Tiba mbadala).
Sasa Jana wakati nasafiri aliingia jamaa mmoja Ustadhi kwenye basi letu na kuanza kutangaza kuhusu Dawa anazouza.
Kuna moja ilinivutia, ni mbegu fulani kwa jina nimesahau,vmuuzaji akadai mbegu hiyi unaitafuna na kushushia na maji baada ya muda utaanza kuhisi hali tofauti mdomoni na tumboni kutaanza kuunguruma hapo sasa utaenda chooni kuharisha na utashuhudia uchafu mwingi ukitoka.
Akaenda mbali zaidi na kusema ili uamini jitahidi uharishie kwenye beseni uone mavitu yatakayotoka tumboni.
Abiria wengi walinunua nami nikashawishika kuinunua hiyo mbegu.
Sasa bado sijaitumia naomba kama kuna ambaye aliwahi kutumia hii mbegu atiririke hapa uzoefu alioupata baada ya kuitumia.
Ni hayo tu wakuu.
Mi nililazwa nilikuwa uck. Yan mpk kesho yake ni mwendo wa kuharisha mpk nilipotimia maziwa. Nikaongezewa na maji drip Kama tatuAngalia usije ukaishiwa maji tu mwilini
Muongo mkubwa weweHusitumie utahara adi uone sio powah tupa kbsa ..we ushaona dawa moja ety inatibu amiba ..kichwa ..UTI ..na magonjwa kede kede