Kuna mbinu za makusudi za kuiua Serengeti ya Tanzania na Masai Mara ya Kenya ili kukuza Dubai Safari Park kwa ajili ya utalii wa wanyama wa porini?

Kuna mbinu za makusudi za kuiua Serengeti ya Tanzania na Masai Mara ya Kenya ili kukuza Dubai Safari Park kwa ajili ya utalii wa wanyama wa porini?

Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Sure kamwe uwezi zuia nature... nature itaendelea kuwepo tu kuliko artificial.
 
Uchimbaji wa hata 3% ya eneo la serengeti utaharibu ecosystem na serengeti haitakua the same again.
Tuwa beeb Wakenya watusaidie ni pambano hili, kwamba huku tukiua Serengeti na Wao Masai Nyara ndio mwisho wake! Kama sisi hatuwezi wanachoweza, basi kunaweza kuchimbika hukohuko kwao. Wakifunga mipaka yote ya Kenya na Tanzania na kuzunguka ubalozi wetu pale Nairobi kila siku kadhaa za wiki hadi kieleweke, kitaeleweka tu! Tutaachana na wazo la kuchimba madini Serengeti
 
Daah sijui nani kamdanganya Mama hayo madini mengine yaliyo nje ya mapori Watanzania wanafaidika na nini aisee yaani wanataka kuharibu mazingira kwa hela ambazo mikataba yake ni ya kihuni tu huku Wananchi ndio wakitwikwa zigo la Tozo kwenye magari na mambo mengine hao wahunj wanakuja na Exemption mpaka wanatoka Mama nakuomba achana na kuwapeleka hao wahuni kwenye Mbuga ambayo imetunzwa miaka nenda rudi kwa Viongozi wote waliopita..
kwani alishawahi kuwa na akili? uliona wapi mkuu wa nchi ana kazi ya kuteua na kutengua tu na ukiangalia sana unakuta katengua wale wenye misimamo, naanza kuamini kwanini kaweka mzanzibari mwenzake pale TANAPA kumbe ni ili achimbe madini kwa manufaa ya wajomba zake wa Oman , oleni wadanganyika kwa kuwa na huyo bibi
 
GENERATION BONGO LALA OF TANZANIA.....................................................................................................................
 
Tuwa beeb Wakenya watusaidie ni pambano hili, kwamba huku tukiua Serengeti na Wao Masai Nyara ndio mwisho wake! Kama sisi hatuwezi wanachoweza, basi kunaweza kuchimbika hukohuko kwao. Wakifunga mipaka yote ya Kenya na Tanzania na kuzunguka ubalozi wetu pale Nairobi kila siku kadhaa za wiki hadi kieleweke, kitaeleweka tu! Tutaachana na wazo la kuchimba madini Serengeti
Huyu mama anajiona ana akili kuliko Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete na Magufuli, wote hao hawajachimba ila kwakua yeye ni jiniaz basi anachimba.
 
Back
Top Bottom