Ulaamiwe, wewe na uzao wako.Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Tufunge na kuomba,Sasa Tumefikia Pabaya Anyway Liwalonaliwe
Hiyo laana naikataa na ikawe kwako na uzao wako.Ulaamiwe, wewe na uzao wako.
Sure kamwe uwezi zuia nature... nature itaendelea kuwepo tu kuliko artificial.Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Serengeti must never die, by hooks and crooks!Kwa hili la kuanza kuivuruga Serengeti kwa kweli ""SAMIA MUST GO"
I say, unawafahamu UAE wewe? Wana maua mitaani kuliko hata Dar ambako tuna mvua, na kila ua lao mitaani linamwagiliwa maji asubhi na jioni! Umeiona hiyo Dubai Safari Park? Lilikuwa jangwa la mchanga hapoJangwa ni jangwa tu haliwezi shindna na uoto wa asili
Tuwa beeb Wakenya watusaidie ni pambano hili, kwamba huku tukiua Serengeti na Wao Masai Nyara ndio mwisho wake! Kama sisi hatuwezi wanachoweza, basi kunaweza kuchimbika hukohuko kwao. Wakifunga mipaka yote ya Kenya na Tanzania na kuzunguka ubalozi wetu pale Nairobi kila siku kadhaa za wiki hadi kieleweke, kitaeleweka tu! Tutaachana na wazo la kuchimba madini SerengetiUchimbaji wa hata 3% ya eneo la serengeti utaharibu ecosystem na serengeti haitakua the same again.
kwani alishawahi kuwa na akili? uliona wapi mkuu wa nchi ana kazi ya kuteua na kutengua tu na ukiangalia sana unakuta katengua wale wenye misimamo, naanza kuamini kwanini kaweka mzanzibari mwenzake pale TANAPA kumbe ni ili achimbe madini kwa manufaa ya wajomba zake wa Oman , oleni wadanganyika kwa kuwa na huyo bibiDaah sijui nani kamdanganya Mama hayo madini mengine yaliyo nje ya mapori Watanzania wanafaidika na nini aisee yaani wanataka kuharibu mazingira kwa hela ambazo mikataba yake ni ya kihuni tu huku Wananchi ndio wakitwikwa zigo la Tozo kwenye magari na mambo mengine hao wahunj wanakuja na Exemption mpaka wanatoka Mama nakuomba achana na kuwapeleka hao wahuni kwenye Mbuga ambayo imetunzwa miaka nenda rudi kwa Viongozi wote waliopita..
Atakuwa ni mmoja ya wanaonufaika au mzanzibariwe jamaa kama mpumbavu hivi?
Ulaaniwe wewe na kizazi chako, nakazia.Hiyo laana naikataa na ikawe kwako na uzao wako.
Kwakuwa umeitamka laana kwangu bila hatia Mungu na atoe hukumu kati yako na yangu.
Amen
MUNGU atutendee na kutuondela wadhalimu wote.Tufunge na kuomba,
Mungu aingilie kati.
Huyu mama anajiona ana akili kuliko Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete na Magufuli, wote hao hawajachimba ila kwakua yeye ni jiniaz basi anachimba.Tuwa beeb Wakenya watusaidie ni pambano hili, kwamba huku tukiua Serengeti na Wao Masai Nyara ndio mwisho wake! Kama sisi hatuwezi wanachoweza, basi kunaweza kuchimbika hukohuko kwao. Wakifunga mipaka yote ya Kenya na Tanzania na kuzunguka ubalozi wetu pale Nairobi kila siku kadhaa za wiki hadi kieleweke, kitaeleweka tu! Tutaachana na wazo la kuchimba madini Serengeti