Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu, ikabidi niache kujitolea nianze mishe mishe za mtaani sasa hivi nafanya kazi ya ulinzi.
Sasa mtu mmoja na akili zake nimemshangaa sana leo Bungeni anasema waajiri waliojitolea hii sio haki, na wengi wanaojitolea ni watoto wanaoishi kwao kwa kutegemea wazazi wengine hatutegemei tunategemewa.
Napinga hiyo hoja kwa asilimia 200%, huu ni ubaguzi na uonevu, yeye huko bungeni ingekuwa ni kujitolea angekuweko?
Kuna wabunge ni mizigo tu leo nimeamini