Kuna mchawi kakamatwa kunakofanyika Bunge la Katiba akiwa

Hivi hawa wachawi kwanini hawachukui nishani ya Nobel ya Physics kwa kupaa angani bila kutumia kanuni za physics zinazoeleweka?
 
mkuu Kiranga bana! tehe!

Nashangaa,

Nchi za Afrika Nobel za manati kama zipo, halafu wataalamu wenyewe ndio hawa kibao tunao wana teknolojia hata kwenye Abbot haimo.
 
Safari hii bunge lina watumishi wa mungu. Wameanza kuumbuka hawa vigagula

Inawezekana ,kwani hila za CCM nazo zimeumbuka ,si ajabu wanatumia majeshi ya kichawi ,yaani ni mambo kuzidiana ,ccm wanabadilisha mikakati 22/7 ni wabaya sana !
 
Huyo atakuwa hajaanguka bali amepoteza direction ya kumpelekea kiongozi wao Rasimu ya Katiba yao Wachawi,si mnajua tena Vigagula navyo vina Mwakilishi wao kwenye hili Bunge la Katiba,Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.
 
CCM bhana mpaka uchawi inaonesha jinc gan mnakaribia kushindwa
 
hivyi na yule alokuwa anamwangusha brother jukwaani ni nani?
 
Chenge ameanza tena kuleta wataalamu wake wa giza?
 

WACHA WEE ! Ina maana WALE WAKEMIA WALITOKOMEZWA ?
 
Pamoja na usomi wangu,Mzee wangu huwa ananiasa sana nisigombee 2015 jimbo flani,na kigezo kikubwa huwa ni ndumba. Huwa sikubali,lakini dah lisemwalo lipo,maana hii kitu husemwa sana.
 
Huyo ni Chenge ndie aliyezoea kuloga bungeni. Sasa ktk hili la katiba utawaroga wangapi wakati katiba ni ya watanzania inamana atajiroga hata yeye mwenyewe kazi kweli kweli. Tutaona kama itakamata au kusaidia, ama kweli madaraka matamu ukiipata kuiachia ji shughuli pevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…