wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta
gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari,
sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu.
nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10.
nimempa tu karudi ndani ya sekunde 10 nikajiuliza amewezaje kujaza haraka hivi.
mafuta yakajazwa, gari ikawaka ila hayakutosha kupandisha geji.
nikampa tena elfu 10 ajaze mengine, ndio nikaona anaejaza mafuta anachukua kigaloni kwenye dustbin, mafuta yameletwa nikayakagua, yana ujazo wa elfu 10.
geji ilipanda kidogo ikabidi niweke mafuta ya lita 5, nikatoa elf 15,
yule anaeweka mafuta alitoa kidumu kimejazwa mpaka juu mafuta ya lita 5 ila muda huu nilikomaa tuweke ya kujaza na ikawa hivyo.
hadi sasa najiuliza huwa wanatoa wapi haya mafuta ?