Kuna mdau anauliza hivi jela usiku na mchana wanahesabu kama siku 1 au 2?

Kuna mdau anauliza hivi jela usiku na mchana wanahesabu kama siku 1 au 2?

Hizi shule bwana eh. Haya, siku ni nini(yaani ni kipindi cha masaa mangapi)? Kwako basi naona hata mwaka utakuwa na siku ,180 na ushee. Enewe,zote hesabu alizoleta mkoloni, kazia.
 
GSMEiFYWkAAsHYo.jpg
 
😀😀 😀 😀 mkuu sasa hako katakupa maajabu gani kanavo jirusha rusha ka kuku kaona kisu,, jela hesabu ya siku ni kama huku mtaani ko ukipgwa 30 ni net net iyo mzee
 
Back
Top Bottom